Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

selling 4 phtoshop dvd tutorials (not original) each for 50 thou. these are some very few examples what u can d after finishing them
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni mtandao gani hapa TZ unatoa huduma bomba za blackberry internet?
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Wandugu naomba kushare hii kitu naona imetulia, Using this method, a user can shutdown, restart, hibernate, etc. his or her computer, just by sending an email from his or her phone. To do...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hapa jamvini pana wajuzi wa IT wengi sana, wakiwemo ma-mods. Kwa nini imeshindikana posts kuwa arranged serially kwa kufuata tarehe za ku-post? Yaani most recent ziwe mwanzo. Kwa sasa utakuta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani, hivi TIRDO, au Tanzania Industrial Research and Development inafanya kazi gani tena? Mbona hatujawahi kusikia popote kuhusu tafiti zao wanazofanya? Halafu wanafanya nini tofauti na ile...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani wana IT, nawaombeni msaada wa procedure ya kuconfigure microsoft outlook iwe client wa e-mails zangu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba mnisaidie namana ya configure outlook ili iwe na uwezo wa kupakua e-mails zangu na niwe nasoma hapo. AU niseme naomba kufundishwa NAMNA ya kutumia outlook
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu wote wa jf hususan kitengo hichi cha sayansi na tekn.mimi nahitaji kutengeneza virus asie kuwa na madhara.najua humu ndani mpo wakali wa mambo haya. Mnielekeze hatua kwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu!!:A S 27: Kupitia JF Naomba mwenye kuniwezesha Kupata Link ya free download Software ya Business-in-a-Box Pro. Ni matumaini yangu kuwa ntapata support kwa wanaJF. Asante sana!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu ninahitaji msaada wa program or software ambayo na weza kulink na watu pande zote za dunia niweze kufanya nao kazi kwamba anahitaji kuflash au kunlock alink na site yangu na mm...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
To IT pros and beginners, try this download manager Best Download Manager - FlashGet Download FlashGet 3.7.0.1156 - FileHippo.com But take care guys, there is no free lunch
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bandugu, Hamjambo, naombeni msaada wenu, kwa mtu anayejua namna ya kupa ta hii software ya adobe photoshop element 4.0 ama version ya juu yake, nimepoteza cd ya camera yangu, so the only way...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nasimu ya vodafone 135 nataka kuifrash wakuu nisaidieni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hello guys. wana jf kwa wale ambao wako intrested in knowing maujanja in IT regarding different programming language,wanaweza kuja hapa wakaona kwa vitendo kabisa since maelekezo yake yako kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuelimishwa namna ya kutengeneza website ndogo kwa ajili ya NGO ya michezo. Nitataka ushauri wa kuitengeneza mimi mwenyewe tafadhali
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wandugu wa JF, mimi ni miongoni wa mapenzi wa movies. Sasa ninamtindo kila nikimaliza kuangalia movie huwa naenda kwenye websites (e.g rotten tomatoes) kutoa reviews zangu au hata tu...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Baada ya kupitia kurasa za zamani ktk sub-forum hii nikaona kuwa kuna mambo mengi mazuri yalishasemwa na wadau mbalimbali toka mwaka 2006 ilipoanzishwa jf, wakati huo jf ikiwa kweli ni mahali pa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nimenunua hii modem ya huawei e1550 ya Zain/airtel na nimeweka line ya airtel. Lakini kila nikijaribu ku connect inaniambia "The SIM/USIM card not been detected or invalid" wakati inaniambia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada! nilicompress File zangu kwa kutumia RaR nikaweka password kwa ajili ya unziping bahati mbaya nimesahau password gani nilitumia. kuna program yoyote au njia gani naweza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom