Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
Nadhani nianze kwa kusema:
Kuwa na kompyuta ni kitu kimoja lakini kuwa na uhakika kuwa ulichoweka kwenye kompyuta hiyo ni salama na hakuna anayeweza kukitoa wala kukiona bila idhini yako ni kitu kingine.
Naamini hapa tuna wataalam wa IT wengi na wengine ni wazoefu tu (hawana utaalam wowote kama nilivyo) na mnaweza kugusia hili kwa mapana zaidi.
Naomba wataalam wanaojua namna zote ama hata baadhi ya namna za kuyafanya mafaili yako yasitirike kabisa kwa mtu yeyote isipokuwa wewe (mwenye file husika) watupe namna ya kufanya hivyo.
BTW: Binafsi pc zangu zote zina encryption kali sana... Ni jadi yangu, nimezoea hivyo! Encryption nizitumiazo ni za kununua kwa bei kubwa tu, na nimeziweka kwenye pc zangu 4.
Nitarejea kugusia aina za Encryption software nilizowahi kutumia na uzuri au ubovu wa baadhi yake.
Ahsanteni