A website for Bongo/swahiliwood movie reviews

Leney

JF-Expert Member
Jul 9, 2007
308
30
Habari wandugu wa JF,
mimi ni miongoni wa mapenzi wa movies. Sasa ninamtindo kila nikimaliza kuangalia movie huwa naenda kwenye websites (e.g rotten tomatoes) kutoa reviews zangu au hata tu kusoma. Pia hua naangalia na movies za nyumbani (mcheza kwao hutunzwa), najua zinaboa sana hizi movies so njia mojawapo ya kuanza kuzichekecha ni kuwa na website solely and strictly for movie reviews au hata blog.

Hii inaweza onekana dhaifu mwanzo kwa sababu waangalia movies hizi wengi ni wa mitaa ya kati ambao hawana time na mtandao lakini fikiria hawa waigizaji wengi wao wana-mablog, so hiyo asilimia chache ya watu "wakicriticize" hizi movies na huu mtandao ukakua, habari zinaweza wafikia waangaliaji through magazeti, tv shows kama bongo mvies (lazima itawatikisa kidogo hawa ma directors) Pia katika tuzo kunaweza kua na critic award for worst/best movies kulindana na sound, picha n.k

Sasa nimeileta hii ishu kwa mtu anaeweza come up with the idea (yaani website) au anaeweza nipa chaneli ambazo naweza jua movies ambazo zimeshaigizwa mpaka sasa TZ(maana sipo nchini kwa mda, kama miaka miwili)

Nikishapata hivo vitu viwili (especially the website with list of the bongo movies to date, and coming ones) nitaihamishia hii thread kwenye "entertainment forum"
 
Sorry, pia kama kuna anaejua website ya hapa nyumbani yenye hii kitu anisaidie, coz nilitafuta nikakosa. senks
 
Naunga mkono wazo lako la kuwa na kitu kama hiki. Suala la movies zipi zimetoka hapa bongo linahitaji ufuatiliaji kidogo.
 
The Internet Movie Database (IMDb)

Ooooooops! u said movies right?

Yea, you read right...MOVIES...LOL

Kaka kama nimekudaka unamaanisha hapa hamna movies..nahua ni "maigizo"... Bt dnt you think tukianza kuwa-audit na kuwacriticize professionally tutawaumbua so wataacha kutujazia maagizo sokoni na kutuletea some movies??

BTW... IMDb waanze tu kuweka huu uppuzi wetu kwenye database zao... ha ha
 
Naunga mkono wazo lako la kuwa na kitu kama hiki. Suala la movies zipi zimetoka hapa bongo linahitaji ufuatiliaji kidogo.

Hapo ndo kazi yenyewe mkuu... huwa naingia sana FilamuCentral Online wanahabari habari tu za yanayojiri katika filamu ila hawana list ya Tanzanian movies, may b I can write to them wawe na tab yenyewe hii functionality. Maana wameshatoa na tuzo teari, tatizo movies zenyewe zinatoka nyingi sana kwa mwezi, yaani unashtukia ziko mtaani.

Pia kuna kampuni zina"produce" na kusambaza hizi movies kama star something, nimeisahau vizuri sijui kama zinawebsite hizi kampuni.
 
Hawa ndugu zetu mpaka watakapoacha quantity na kudeal na quality ndio tutapata vitu vya maana Unakuta Actors wenzetu mtu Career yake yote ana movies kumi.... huku wenzetu hata kwa mwaka mmoja tu mtu ameshatoa kama 15 kweli tutafika... anyway jaribu hapo GAME 1st QUALITY - a full service television, audio and audiovisual production. hawa watu watakupa information na kuna movies utaziona hapo....

Thanks man... Nimeenda bwana nikakuta project gallery yao ina kwaya 37 na movies 4(Johari 1 and 2, dangerous desire na sikitiko langu)..I guess movies nyingine hawajaziweka but I will ask them.

Hivi Mtitu productions hawana website?

Upto now wanafikiri quantity ndo inaleta hela mifukoni, they aint thinking quality like you.
Kwa wenzetu Kama director wa The fighter alitoa movie 2004, amekaa ndo kaja kutoa 2010, au blue valentine ambayo it took 12 years to make.
Watasingizia technology ila kwenye hizo movie mbili nilizotaja ni pure drama or romance jamani hamna ma-inception wala mabunduki. WE ARE DOOMED.
 
Hapo ndo kazi yenyewe mkuu... huwa naingia sana FilamuCentral Online wanahabari habari tu za yanayojiri katika filamu ila hawana list ya Tanzanian movies, may b I can write to them wawe na tab yenyewe hii functionality. Maana wameshatoa na tuzo teari, tatizo movies zenyewe zinatoka nyingi sana kwa mwezi, yaani unashtukia ziko mtaani.

Pia kuna kampuni zina"produce" na kusambaza hizi movies kama star something, nimeisahau vizuri sijui kama zinawebsite hizi kampuni.

Kampuni nyingi hazina website. Watu wanajali "si nauza bwana." Juzi nilikuwa nawashambulia Wahindi juu ya suala la movie kibao kwa msanii mmoja pamoja na part 2 zisizo na ulazima, wakajibu ''tunajadili suala hilo kwa sasa ili tubadili utaratibu."
 
Thanks man... Nimeenda bwana nikakuta project gallery yao ina kwaya 37 na movies 4(Johari 1 and 2, dangerous desire na sikitiko langu)..I guess movies nyingine hawajaziweka but I will ask them.

Hivi Mtitu productions hawana website?

Nadhani hao wote wanashirikiana na Game First Quality if am not mistaken wanaweza wakawa wana share... pia kuna hii site ya Kanumba na contacts nadhani atakuwa mtu perfect wa kumcontact Welcome to Kanumba's World pia movie za kibongo zipo IMDB mfano She Is My Sister (Video 2007) - IMDb kama unavyojua hawa jamaa sio kwamba wanachagua movie bora pekee am sure kina Kanumba wenyewe wameshapeleka movies zao zote huko na kama bado basi ni wazembe.
 
Kampuni nyingi hazina website. Watu wanajali "si nauza bwana." Juzi nilikuwa nawashambulia Wahindi juu ya suala la movie kibao kwa msanii mmoja pamoja na part 2 zisizo na ulazima, wakajibu ''tunajadili suala hilo kwa sasa ili tubadili utaratibu."

Natamani ningekuwa na uwezo wa kuwaambia wabongo wote wasinunue movies hata moja... Ila sasa mama angu mwenyewe nimeshindwa kumshawishi, kila siku nyumbani anakuja na part 1 and 2...ha ha
 
Nadhani hao wote wanashirikiana na Game First Quality if am not mistaken wanaweza wakawa wana share... pia kuna hii site ya Kanumba na contacts nadhani atakuwa mtu perfect wa kumcontact Welcome to Kanumba's World pia movie za kibongo zipo IMDB mfano She Is My Sister (Video 2007) - IMDb kama unavyojua hawa jamaa sio kwamba wanachagua movie bora pekee am sure kina Kanumba wenyewe wameshapeleka movies zao zote huko na kama bado basi ni wazembe.

Yea ur right, maana nimeenda kwa Kanumba nimekuta movies zake karibu zote ni za Games 1st quality, nimeenda IMDb movies za kinigeria zipo bwana angalau hata titles tu na actors and directors, na nina uhakika hiyo ya she is my sister imewekwa kwa sababu director mnigeria aliipeleka...
 
Natamani ningekuwa na uwezo wa kuwaambia wabongo wote wasinunue movies hata moja... Ila sasa mama angu mwenyewe nimeshindwa kumshawishi, kila siku nyumbani anakuja na part 1 and 2...ha ha

Hao wahindi nilioongea nao walidai suala la part 1 &2 liinaondolewa kwa kuwa nia ilikuwa ni kuongeza kipato cha filamu, sasa bei itakuwa 5,000 kwa movie nzima moja badala ya 3,500 kwa kila part 1 na 2 separately. In reality nafikiria kuandaa filamu baada ya kama miaka mitatu hivi.
 
Sijui kwakweli kama wataweka hayo maneno yao in action... Kwa kweli andaa movie, wakiona may be they will learn and ol the best.

Mimi ngoja nikusanye hizi data nione kama naweza amsha watu waanze to crtically review hizi movies. Will bring it here jamvini for maoni.
 
hawa majamaa hawambiliiki na wajuaji. In addition to that, hawashauriki! So I won't waste my time criticizing people who are too unprofessional to take criticism!
 
Guess what, I started working on developing this portal but I did not get much cooperation from the movie people. Please if you can we can meet and see if we can get this project started. I have attached a document View attachment project-brief-20100607.pdf of what we had in mind.

I would be happy to work with anyone on making this happen.
 
Back
Top Bottom