Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanajf kuna mtaalam anaweza kunisaidia jinsi gani naweza kubadili upya programu ya application ambayo inansumbua kwa muda mrefu kila nikidownload inakataa kufunguka kwa mfano operamini na games...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
natumia HP Pypeavilion lakini kila nikitypehou maneno yanaingiliana yaani siwezi kutype kwenye straight line without confusion nisaidieni ni settings au nini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HI WADAU :msela: NAOMBA MSAADA WA KU CRACK SERIAL NUMBER ZA SeedUpMyPC SOFTWARE
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jaman eti naweza kupata setting za zantei mobile partner bila kuwa na modem????
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninatumia modem ya Zain kwaajili ya kwenye laptop yangu. Lakini kila nikitaka kudownload information kwenye internet, inanipa message hii: INTERNET DOWNLOAD MANAGER HAS NOT BEEN REGISTERED FOR 30...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau nisaidieni najiungaje na zantel bundles kwa modem yangu 'EVDO'
0 Reactions
3 Replies
6K Views
wana jf kwa nini televisheni yetu ya taifa wakati wakuonyesha mpira wa live kutoka uwanyani wanashindwa hata kuweka muda (dakika) wa mchezo kwa mfano wakati wa mashindano ya chalenge waliboronga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada wa source codes za kitabu hiki hapa kwa mwenye nazo(Wiley, PHP & MySQL Everyday Apps for Dummies (2005)). Mwandishi anaitwa JANET VALADE. Soft copy ya kitabu ninayo, lakini Souce...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnisaidia hapa. Katika utafiti wangu nimegungua makapuni mengi yanayo fanya kazi za kutengeneza na kuhost website hapa bongo yenyewe haya website. Je hii ni strategy of business??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waheshimiwa, flash yangu inasoma kama folder, nimehisi kuna virus na kuscan nikirudia lakini wapi!!! Sijui tatizo litakuwa nini, natumia Kaspersky internet security 2011 na iko update. Naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazee wa JF naomba mwenye OS ya Vista anipatie jamani kuna Pc nataka niwekee now!!! thx wazee much respect!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Currently the internet has continued to be disrupted in Egypt following the closure of all section of internet traffic into and outside the country. Today, six Al-Jazeera correspondents have...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Tanzania is one of the largest sorghum grower in Sub Saharan Africa, but very little is known as to why sorghum is not used in many households as food. The world weather is becomming more and more...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani tujifunze, mimi nimefanya kazi alla the way na MySQL pekee. Sijawahi tumia zingine zote ingawa nina PGS installed. Naomba kwa waliotumia zingine watuambie kuna tofauti gani technically. Je...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Is your laptop cooking your testicles? Whoever invented the 'laptop' probably didn't worry too much about male reproductive health. Turns out, unsurprisingly, that sitting with a computer on...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba msaada wanaJF. Mwenzenu nashindwa ku-enjoy video zinazopostiwa humu. zinacheza halafu zinasimama. nitumie video accelerator gani??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wana JF. Natumia data analysis software (SPSS) nimekwama kwenye kipengele cha ANOVA jinsi ya kuelezea. Mwenye kujua vema tafadhali naomba anisaidie...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Video ya makala hii inapatikana HAPA Siku za karibuni,tuliongelea umuhimu na ukuaji wa vifaa au programu zinazoweza kufanya kazi za vifaa kamili(simulators),mfano mmojawapo ni kwa wale watu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, habari Kuna anti-virus inaitwa Quick Heal nimeipenda sana. nilidowload ile ya majaribio sasa nataka ninunue. nisaideni jinsi ya kuipata. nataka kwa ajili ya matumizi binafsi siyo ya ofisi
0 Reactions
18 Replies
2K Views
hi
WADAU NAOMBA MSAADA WA JINSI YA KU'CRACK SERIAL NUMBER ZA SOFTWARE SOFTWARE YANGU YA SpeedUpMyPC IMENUSMBUA MUDA MREFU JINSI YA KUPATA HIZO SERIAL NUMBER.
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Back
Top Bottom