Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
Habari ya siku mingi wana JF ? nimepotea kwa mda kidogo kutokana na majukumu...
Wakuu jana usiku nilikuwa officen napiga job, akaja mafanyakazi mwenzangu akaomba afungue flash yake kwenye laptop yangu, nilimpa na baada ya kuichomeka nilisikia mlio flani hivi toka kwenye motherboard ya laptop yangu.... alipo maliza kazi yake nilirudi kuendelea na kazi zangu... ghafla ilikuja blue screen ikiniambia ni shutdown mashine yangu mara moja, hapo hapo ikajizima yenyewe na nilipoiwasha tena nilikutana ma ujummbe huu
"SMART Failure Predicted on hard Disk 0: TOSHIBA MK8025GAS- (PM)
WARNING: Immediately Back_up your data and Replace your Hard disk Drive. A failure be Imminent.
Press F1 to Continue"
Nilipo jaribu ku press F1 iliniletea Option hizi
login Safe Mode au last good configuration,
nilichagua safemode ilichukua kama dakika 20 bila kufunguka ,pia hivyo hivyo kwa last good configuration...
Nimeitoa HD na kuweka kwenye Case ya Ucom mobile 2.5 kama external disk imefunguka vizuri tu ila napotaka kuingia kwenye user flolder ambalo ndiko kwenye files zangu zote ina goma kufunguka na kutoa MSG
"G:\Document and settings.Carthbert
Is not accessible.
Access denied.
Wakuu nimechanganyikiwa mno maana kuna report natakiwa kuziwasilisha kesho.
Masaada tafadhali.