Heshima kwenu wakuu wote wa jf hususan kitengo hichi cha sayansi na tekn.mimi nahitaji kutengeneza virus asie kuwa na madhara.najua humu ndani mpo wakali wa mambo haya. Mnielekeze hatua kwa hatua.LENGO NI KUJIFUNZA SINA MAANA TOFAUTI.
umesema kweli ukijua hapa utajua pale.kwuwa ni kitu kisicho na maana sana kkwangu tofauti na kujifunza ngoja ni achane nacho.nashukuru mkubwa.
yaani kaka umenikatiri ile mbaya coz nilikuja kwako hukunpa ngoja nipate mautundu humu jf nikija kwako nikuwa full nodo.mean nitatengeneza virus mmoja kabambe. nita m rename SLAVE au DR.4Ne(joking)
uwezi kuamini nipo full protected firewall za nguvu mm tu nitakuwa na access ya kuchungulia kwko
haya bana ngoja niisome fresh hiyo link iliyowekwa na brother.na wewe unatakakiwa uniongezee maujuzi ili nikichanganya hapa na pale mambo yaende sawia.