Msaada wa kutengezeza website | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kutengezeza website

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Erick_Otieno, Jan 4, 2011.

 1. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Wakuu naomba kuelimishwa namna ya kutengeneza website ndogo kwa ajili ya NGO ya michezo. Nitataka ushauri wa kuitengeneza mimi mwenyewe tafadhali
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Msaada wa kwanza ni google. kupitia google unaweza kujua kulingana na knowledge uliyonayo wapi uanzie au nini ufanye. kuna article nyingi sana.

  Msaada wa pili ni knowlege uliyonayo kuhusu web techologies. Kulingana na uwelewa ulionao utajua utumie nyenzo gani , program gani , web host gani

  • Unaweza kutumia mtando wa blogspot.com
  • Unaweza kutumia program kama dreamwever
  • Unaweza kuamua kutumia content management system(CMS) z open sourcekama Php Nuke auukatumia propietary software kama za microsoft kama sharepoint
  Kwa hiyo ushauri kama unataka kutengenza mwenyewe jifunze kupitia gogle technology mbali mabli zilizopo na nyenzo zinazotumika na ni vipi zinatumika then tengeneza web yako

  good Luck.
   
 3. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Ni uamuzi mzuri , lakini kama huna experience na mambo ya programming sidhani kama unaweza ukafanya kitu lkitakacho leta piocha nzuri kwa NGOO yako. Nakushauri waone wataalamu wa hii fani japo itakugharimu. ila watakupa kitu bomba sana.

  Ukitaka kutengeneza website ya kwako at least uwe unaufahamu wa vitu kama HTML/XHTML , javasript, php/jsp/asp etc. Na pia uwe na upeo kidogo wa systems design ili upange mambo yako vizuri.

  Kama niliyo eleza hapa juu ni misamiati migumu basi fungua blogspot.com na tengeneza blogyako kama ya michuzi kwisha kazi. lakini hutakuwa mmiliki wa hiyi kitu. siku wakiamua kuitoa huna rights za kuprotest.
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  1. Nunua webhosting(mahali pa kuhifadhi website yako) na domain(jina e.g www.pageyangu.com) kwa website ya kawaida shared hosting itakufaa e.g Web Hosting Services, Reseller Hosting, and Dedicated Servers by HostGator Hakikisha unanunua hosting yenye "fantastico".

  2. Utapata instruction za jinsi ya kuingia kwenye control panel yako ukishanunua hosting. Nenda kwenye fantastico, install moja ya CMS(Content management systems) zilizopo humo kama Drupal, Joomla,Mambo etc.

  3. Setup hiyo CMS kama unavyotaka, hizi hazihitaji programming, ni kukonfigure tu options na labda kuongeza modules kulingana na requirements zako.

  Hivi vitu vyote vina tutorial kibao mtandaoni na video tutorial youtube. ni kiasi cha kusearch tu. Good luck.
   
 5. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wataalam,

  asanteni sana kwa ushauri wenu manake na mimi pia nina hamu sana ya kutengeneza website lakini kweli sijui nianzie wapi. Nataka nitengeneze website yangu lakini pia iwe inaweza kutuma email kwa mfano www.website.com halafu niwe na emails zake mhafidhina@website.com

  yaani kila siku nakesha nikiwaza lakini hata sijui nianzie wapi na ni fanyeje...! Naombeni msada wenu ndugu zangu...! Msaada kwa step by step kuanzia mwanzo (sina utaalam wowote wa mambo ya website)

  Asanteni sana ndugu zangu...!
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Same as above, ukinunua webhosting na domain utaweza kutengeneza email yoyote @website.com
   
 7. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  w3schools.com
   
 8. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Wakuu asanteni sana elimu babu kubwa niliyopata. Je naweza kupata gharama za kutengeneza website yenye page kumi kwa kutumiamtaalam. Information nimeshaziandaa. Najaribu kuangalia option ya budget yangu kama nitaweza kulipa mtaalam.
   
 9. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  MKubwa unaweza jaribu hapa,fuatilia part zote kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho(6) Ukiangalia kwenye Related Videos utaona Part Zote kwa makundi.

  Website kwa Wordpress - Part I

  Kama utapata utata masi tuwasiliane.
   
 10. a

  atlwindows Member

  #10
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa wana tengeneza websites, kampuni ipo dar. email yau- sales@saqqa.org
   
 11. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kang,

  Asante sana kwa maelekezo. Je hio web hosting inanunuliwa wapi na inauzwaje? Jamani naomba kuelimishwa tu ndugu zangu manake sijui pa kunazia kabisa.
   
 12. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wasiliana na
  IT Farms
  TechnoBrain
   
Loading...