Naomba kusaidiwa namna ya kutumia Outlook kusoma e-mails zangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kusaidiwa namna ya kutumia Outlook kusoma e-mails zangu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Expedito Mduda, Jan 20, 2011.

 1. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba mnisaidie namana ya configure outlook ili iwe na uwezo wa kupakua e-mails zangu na niwe nasoma hapo. AU niseme naomba kufundishwa NAMNA ya kutumia outlook
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  .....sidhani kama nimeelewa tatizo lako.....may be sababu si mtu ya IT.....!ngoja IT GURUs wakuibukie......!

  BWT: Hujambo kijana wa MASIKA aka UNOKA?
   
 3. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Next Level, uko wapi? Naomba uni-pm
   
 4. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  .....nipo duniani mkuu! ok takucheck kwenye PM!
   
Loading...