From jf library/kutoka maktaba ya jf

Baba Mtu

JF-Expert Member
Aug 28, 2008
870
168
Baada ya kupitia kurasa za zamani ktk sub-forum hii nikaona kuwa kuna mambo mengi mazuri yalishasemwa na wadau mbalimbali toka mwaka 2006 ilipoanzishwa jf, wakati huo jf ikiwa kweli ni mahali pa wafikiriaji wakuu(great thinkers) na sio watoa pumba!!!!! kila nikijiuliza jf imepatwa na nini hata kuonekana kupoteza uelekeo sipati jibu!!!!
Ukifungua kwa mfano kuanzia ukurasa wa 45 kwenda 76 utaona solutions za matatizo mengi ambayo yanaulizwa kipindi hiki. Kwa mfano nilikuwa natafuta dual boot of multiple os kumbe ipo hapa

https://www.jamiiforums.com/technol...oot-windows-and-linux-on-the-same-system.html

Nawashauri wale wenye matatizo katika fani ya IT wasome post za zamani kwanza kabla kuleta matatizo yao, kwa kufanya hivyo huenda wakapata ufumbuzi bila wao kuhitajika kupost. Hii pia itasaidia kupunguza mzigo ktk saver ya jf. Tusione uvivu kusoma post za zamani, ni sawa na kwenda maktaba na kujisomea, ndio maana nikaiita post hii kuwa ni KUTOKA MAKTABA YA JF.
 
umenena mkuu nakuunga mkono mana matatizo mengi watu wanayouliza kila siku yalishajadiliwa na kupatiwa ufumbuzi cku nyingi tena ya ufasaha kuliko now ila swala jingine tungemwombo mod azipekipaumbele baadhi ya post zenye faiada sana ziwe mbele kabisa yani ziwe Sticky inakuwa raisi watu kuziona kuliko kuzipotezea hivyo
 
Kweli baba mtu.
Tena sio IT tu. Wawe wanasearch kabla hawajakurupuka.
 
Back
Top Bottom