Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

its true that by the use of technolog(information technology and information system ) tunawe kufanikisha mambo mengi kweli na kuweza kubalance mda pamoja na fedha kwa ajili ya matumizi mengine kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesoma articles mbali mbali mbali zinzotabiri kuwa bidhaa inayoitwa CD& DVD storage and Drive zitakosa umuimu kwenye soko. kama ilivyokuwa Diskette. Leo hii Diskket drive na diskette...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari? Nina note book yangu nikiiwasha hua haidisplay kitu, lakini inaonesha imewaka, kuna rafiki alisema ali-force kui-shut down baada ya kufungua mafile mengi. Naomba msaada wenu. Ahsante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF Nimenunua king'amuzi cha Star Times. Wauzaji waliniuliza hali ya ninapoishi na kunishauri nitumie antena ya kawaida ili mradi tu inashika TBC kwani ile ya kwao ndogo haitashika mawimbi...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
NimeInstall Xp lakini siyo Ginuwine,Nimejaribu kudownload labda keygens za aina tofauti tofaoti nimekosa kabisa na zingine hazikubali.Je wataalamu mnaweza nielekeza wapi ntapata XP loader...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu!wajamen naomben kuulza,kuna ndugu yangu mmoja ana a/c kwenye bank ya crdb,kakuta kias kikubwa cha akiba yake hakipo,sasa akajarbu kwenda kwenye bank husika kuomba bank...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF, kama thread hii ilivyo, flash yangu haifunguki ila inatoa alert kuwa " The disc in drive D is not formatted, Do you want to format it now? nimestuka kwani najua risk ya kuformat ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJF mambo vp? Kwemaaa?.Jamani naombeni msaada kwenu wa nini cha kufanya na ni mahitaji gani ya muhimu yanayotakiwa.Jamani ndugu zangu ninahitaji kuanzisha kituo cha radio cha kurusha matangazo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi JF members, ninauelewa wa kati kwa kutumia excel MS na nimeshawahi kusikia kuwa its possible to make software using excel MS, wadau naweza kupata notice/ maelekezo ya kutosha ili kutengeneza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakubwa,napata shida sana kutumiwa message zisizo na maana hasa zinazopitia Spam badala ya kwenye Inbox ktk e mail.Awali nilikuwa nimei-OF ili nisizipate kwenye e mail yangu lakini bbaadhi ya watu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina Server DELL PowerEdge 1600sc ina Windows 2000 Server. Ina several hard disks ambazo zote nimezipatition including Health (Active) Basic Primary Partition,(Drive C & I ni hard disc MOJA) lengo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada wana jf. Ni wapi ninaweza kununua decorder tajwa hapo juu na itanigharimu tsh ngapi.natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf habari zenu? Nimesikia malalamiko mengi kuhusu modem za tigo na airtel pia, vp kuhusu Zantel na Ttcl? Cost vs efficiency vinahusika
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ilishawekwa jamvini kipindi cha nyuma. Inafanyika Dar June 4-5, deadline ya ku request participation ni May 31. For more details follow this link: Mobile and Web Technologies for social and...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Kuhamisha namba za simu kutoka kwenye phonebook kuhamishia kwenye computer na kuzitoa kwenye computer kurudisha kwenye simu? (hii ni kutokana na kupoteza simu na kupoteza contacts muhimu 2...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeandika html form yenye Name,Email and iquiry(textarea) sasa nataka ku validate form hiyo kutumia Javascript . Najaribu without success.Then nikiweza nitumia tena php kuvalidate Share your...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Here you go.... Watch free movies on Free Movies Cinema
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama uko Dodoma kuna mtu wangu anatafuta lap top yenye uwezo mzuri mfano iwe na 1GB of ram na Hard Drive yenye storage kuanzia 60GB kwenda mbele. Ametoa laki 3. Jaman kama kuna mtu wa kihivyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wadau wa jamii forum. ningependa kujua kama kuna mtu mwingine ambaye ana blackberry ambayo its under verizon, or at&t storm 2 9550 kama anaweza kupata any BIS service either through vodacom...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
mambo vipi wakuuu nilikuwa ninauliza wapi nitaweza kununua ps3 games kwa bei nafuu?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Back
Top Bottom