AMARIDONG
JF-Expert Member
- Jun 24, 2010
- 2,501
- 189
Wadau naomba msaada wenu kuna ndugu yangu amenunua laptop
Ila akijaribu kuingia inamwambia imefungwa biodisk sasa ananiambia inabid i aingie kama guest.
Amepeleka kwa mafundi kadhaa hapo dar ila wameshindwa kumsaidia kama kuna mtu anafahamu suluhisho naomba anipe contact ili mumsaidie
Tafadhali