Asante kwa maelezo mwingine mwenye jipya anijuze wataalamitategemea na utatumia program gani ya kompyuta ya editing itakayoendanda na camera video yako. yaani utakayoweza ku-connect na ku-download video kwenye kompyuta kwa ajili ya ku-edit.KUNA CAMERA NZURI ZA SONY, PANASONIC kuanzia laki 6.