Under graduate application forms MUHAS/SUA

Arselona

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
643
153
Habari Jf.Mi nna diploma in clinical medicine .Malengo yangu mwaka huu ni kurudi chuoni MUHAS/SUA.Nime2mia muda mwingi kutafuta forms tajwa hapo juu bila mafanikio.Ninashimdwa kuelewa kuwa tatizo ni mimi au tu wao hawana tena program kwa diplnma holder.Kama kuna anayefaihamu jinsi ya kuzipata tafadhali naomba anijulishe.
 
Back
Top Bottom