gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 54
salama wakuu? Tatzo langu ni moja,kuna jamaa yangu nilimuazima external yang aina ya transcend 500gb akacopy movie,sasa sijui alifanyaje nikiikonect kwenye pc huweiz kuiona kwenye my computer japo ukienda pale kwenye taskbar kuna option ya 'remove usb device' inavoonesha inasoma bt haiwez onekana. Hata ukienda kwenye device manager unaikuta kwenye list of hard drives tatizo linakuja siwez kuiacess. Naomba msaada wenu wakuu!