Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu wa IT nisaidieni nimekwama hapa. Natumia Eclipse kama IDE. Apache kama webserver Tomcat kama container Lakini flash file iliyopo kwenye heder.jspf inagoma kuwa displayed. Hii ndio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwanini lakini huu mtandao wa tigo,hususani 3G,inashika vizuri ktk ya jiji tu,yaani hata tv stations,kama aljazeera,press tv,na france 24,unatazama kupitia kwenye simu,clear kama mkanda.mbona...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba msaada wana JF. Natafuta software ya kuweka password kwenye files na folders zangu. Tafadhali kwa anayejua anijuze. Natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba link nzuri ya kudownload music. Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ICT ni sehemu ndogo ya Teknolojia. Siku si nyingi tutasikia bajeti ya matumizi ya serikali kwa mwaka 2011/2012. Niko interested na nawashauri wadau wote wa ICT ni vizuru tujaribu kutafuta...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau naomba msaada wenu, nahitaji kuwa na web yenye domain name ya .co.tz, niwaone nani ambao wanabei nzuri kwa usajili? na ni nani na nani wenye mamlaka ya kusajili? vilevile na webhosting...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Natumia notron antivirus ktk computer but two weeks ago imejiturn off, and it always alerting "your norton antivirus turned off." Wadau naomba mnisaidie jinsi ya kuturn on
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu tafadhari natafuta watu wanaofundisha MYOB accounting package na pia wanaweza kutoa support kwenye kampuni. Ahsante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa upande wangu nimeamua kuwapongea Airtel kwa kuifanyia marekebisho mitambo yao.Kwani nilikuwa sipati kabisa UMTS ilikuwa EDGE tu.Siku za nyuma nikichagua UMTS ilikuwa haikamati mawimbi ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu wajamvi, Nawasalimuni nyote. leo Naomba mchango wenu katika hili, ukiwa na window vista katika computer yako isiyo genuine,... je kuna namna yeyote naweza kuifanya ikawa genuine?? msaada pliz
0 Reactions
3 Replies
2K Views
IBM yafungua ofisi Tanzania na Irene Mark KAMPUNI ya IBM imefungua tawi lake jijini Dar es Salaam ili kurahisisha upatikanaji wa huduma zake barani Afrika na Dunia nzima. Akizungumza na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
NI BEI RAHISI 160km/charge 2010 august magari 100,000 yalipelekwa, miezi minne baadaye 70,000 yalikwisha kuuzwa soma mwenyewe hapa Better Place - Wikipedia, the free encyclopedia
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nahitaji driver download link ya web cam,Dell inspiron 4010,yeyote anayeweza kusaidia.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau naomba msaada nina hii kitu ilipata virus nika format sasa natafuta software yake nimejaribu kuangalia ktk website yao hakuna software kuna yoyote anaejua jinsi ya kupata hii software na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
kwanini lakini huu mtandao wa tigo,hususani 3G,inashika vizuri ktk ya jiji tu,yaani hata tv stations,kama aljazeera,press tv,na france 24,unatazama kupitia kwenye simu,clear kama mkanda.mbona...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, nawaombeni msaada wenu kwa mara nyingine tena. Laptop yangu imekuwa ikileta shida tangu nilipoi-formart miezi miwili iliyopita. Tatizo lillilopo kwa sasa ni la desktop icons hasa shortcuts...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu? kuna tatizo ambalo huwa nalipata ninapo play movies ambazo nimedownload kwenye internet kuna message huwa inakuja inasema! The file you are attempting to play has ana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau wa jukwaa habari Nimepata simu ya HTC herm200 na nahitaji kuiunganisha na computer yangu lakini nikiichomeka na usb cable haionekani.Lakini nimesikia kuna software lazima uinstall kwanza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yeyote anayeweza kunisaidia Dell inspiron cam drve download link pleas..
0 Reactions
0 Replies
908 Views
jamani tujue kuwa kwa tanzania ukitoka tu nje ya DAR basi hakuna spidi ya maana ya internet. zote zinakuwa ni EDGE tu , sio 3G tena. labda kwa zantel nao wao hawapo sehemu nyingi kwa sasa. mie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom