Ni hizi nokia classic pekeyake au?

Ni hizi nokia classic pekeyake au?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Jamani wadau natumia nokia 2323c na nokia 2700c ni nzuri kwa kwel coz zina operamin na natumia net bila vikwazo ila cha ajabu zote hazina sehemu ya backlight setting kwajili ya kupunguza kasi ya mwanga na kuweka mda wa kudisplay mwanga hivi vyote hamna na sijui kwa mengine vp wenzangu wa nokia ni hizi classic tu au af nokia ambayo iko full section ni ipi?
 
yeah mpaka Xpress music it's the same story,sijui kwa nini.
 
kwa kuwasaidia jaribu kutumia uc web browser badala ya opera mini zote zina function sawa then uc web ina option ya kudownload themes toa theme nyeupe inaoumiza macho eka theme kama khaki na rangi zilizofubaa inaweza kusaidia. Kuipata nenda m.ucweb.com
 
mkuu tatizo sio browser ukisoma fresh! Ni kwamba hizo sim hazina backlight settings,you know kwenye sim zingine unaweza kuset brightness na muda ambao usipobonyeza simu LCD inazima.
 
Naomba kujua bei ya simu zifuatazo Tanzania Nokia 6600islide,6700slide,5330TV edition,5230,5800navigation edition,5630,5320 in Tshs.
 
ok hazina option ya kuset backlight. hayo ndio maumbile yake. ila sijafaham tatizo lako haswa ni nini? unataka njia ya kuwezesha au kulazimisha kuset backlight?
 
Naomba kujua bei ya simu zifuatazo Tanzania Nokia 6600islide,6700slide,5330TV edition,5230,5800navigation edition,5630,5320 in Tshs.
nlishawah kununua 5320xm kwa 140..ni kacm imara na nzur kwa kwel
 
Back
Top Bottom