Mobile tv

Mobile tv

mankind

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2011
Posts
233
Reaction score
86
msaada wa njia nyingine za kuangalia tv kwenye simu zaidi ya mobiclip na mundu tv. Kama zipo tafadhali nijuzeni.
 
dstv mobile na zingine fuatilia thread humu humu JF utaweza kuangalia al-jazeera,france tv na press tv
 
mkuu zote nazipata hizo n some more.i just want another ways.
 
Alafu mbona nikiangalia kupitia line yangu ya voda inakubali ila aiRtel inanikatalia je tatizo ni nini?
 
mundu tv(quality mbaya) ila nakushauri download crystal tv au spb tv quality zake nzuri, spb ina tv zaidi ya 1000 sema zinatumia high speed network kama 3g, airtel inakubal hakikisha unaeka 3g, kuieka nenda tools,setting,phone,network,networkmode then select umnts,

3g ya airtel hupatikana mikoa kama dar na dodoma si nchi nzima, kuhusu dstv mobile ile ni live tv huhitaji kudownload kitu so unaweza kuwatch online zimejaa kibao kwenye wapsite za kihindi ukitaka sema
 
symbian s60 v5 na i phone 4.

kwa Iphone 4 kuna hii 'coolstreaming' ni nzuri ina channel nyingi..sema itakubali kama ios yako ipo jailbroken...inapatikana
kwenye 'Installous'... s60 v5 live tv ni nzuri...

IMG_0159.PNG
 
mundu tv(quality mbaya) ila nakushauri download crystal tv au spb tv quality zake nzuri, spb ina tv zaidi ya 1000 sema zinatumia high speed network kama 3g, airtel inakubal hakikisha unaeka 3g, kuieka nenda tools,setting,phone,network,networkmode then select umnts, 3g ya airtel hupatikana mikoa kama dar na dodoma si nchi nzima, kuhusu dstv mobile ile ni live tv huhitaji kudownload kitu so unaweza kuwatch online zimejaa kibao kwenye wapsite za kihindi ukitaka sema
shukrani mkuu nimeipata spb tv.
 
kwa iphone jaribu justin tv...ni nzur ucpime yaan watu ndo wanastream live tv...latest movies,tv shows,tech news ni ww tu!
 
Back
Top Bottom