GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Habarini wana JF, Ni kawaida yangu ninapotaka kuangalia filamu kwenye kompyuta huwa naikopi kwanza. Mwezi Mei nimenunua filamu ambayo Kila ninapotaka kukopi inaonyesha kuwa ina GB 300. Hard Disk yangu ina 120. Nifanyeje maana kiukweli hiyo type ya security ni mpya kwangu na ni program gani inatumika kufanya kitu kama hicho?