Nahisi kama nimeua modem yangu vile!!!!, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi kama nimeua modem yangu vile!!!!,

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by dfreym, Jun 10, 2011.

 1. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  NILIKUWA NATAKA KUUPDATE FIRMWARE KWENYE MODEM YANGU YA TIGO HUAWEI E 153u-1, THEN NIKADOWNLOAD HIYO FIRMWARE UPDATE SOFTWATE(huawei E153), NIKAFUATA PROCEDURE ZOTE ZA KUUPDATE FIRMWARE, LAKINI ILIPOFIKA KATI KATI, NIKAPATA MESSAGE, AN ERROR HAS BEEN DETECTED, THEN IKALETA OPTION SEND ERROR NA DONT SEND, MI NIKA CKICK DONT SEND, IKAKATA.
  KUANZIA SAA HIYO INAGOMA KUUPDATE, NIKIJARIBU TENA INASEARCH DEVICE HALAFU INASEMA "THE DATA CARD CANT BE FOUND ERROR CODE 03 " NIKIJARIBU PORT, na COMPUTER NYINGINE INASEMA FAILURE: DIFFERENT C VERSION UPDATE IS FORBIDDEN".
  NIKIJARIBU KUWEKA LINE HAISOMI, INAFUNGUA TU SOFTWARE YA TIGO, LAKINI NO NETWORK NO NINI. NISAIDIENI JAMANI NIFANYEJE?
  nimejaribu kila hali imenishinda, inaonesha imefutika yote, kwani hata nikiisoma kwa qpst haikubali, inasoma ila mwisho ukitaka kuingia ndani inaonesha patupu.

  au kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kufufua modem iliyokufa (dead) anielekeze.
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  dah! pole sana mkuu,:smash:
   
 3. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  asante kaka, lakini nahisi kuna watu watakuja na kitu helpful, nawasubiri wazamivu wa tech & gageds, wachimbe zaidi waje na ufumbuzi, with thanks.
   
 4. T

  T.K JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii update Firmare nina mashaka nayo mkuu, hata miminilitaka kuupdate ili ili jipate feature ya kupiga cm kama mdau mmoja alivyosema humu nikaishia kulock modem yangu na sasa haikubali line yoyote..........bado napambana nikipata solution nitarudi
   
 5. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jamani jamani jamani!!!!
  ili upige simu kwa modem hiyo feature ipo wazi. haija zimwa. cha kufanya ni kutumia software (dashboard yenye facility hizo) nayo ni huawei mobile connect. inapatakina for free internet. hat dc unlocker wanatoa for free. na kwenye website ya huawei ipo buree.
  hata ukitumia ile software ya zantel ya huawei inakubali kupiga simu kwa kutumia modem nyengine za huawei. mfano tigo.
  yaani huawei karibu zote zinakubaliana.
  haibidi wala hailazimu na ni uzembe ku update firmware eti kwa kudhani kuwa itakuja kupiga simu
   
 6. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, binafsi nilishajaribu kutumia hiyo mibile connect kwa ktumia line ya tigo, tatizo ni kuwa japo hiyo call feature ipo modem ina misbehave ukiitumia, unaweza ukadial namba upande wa pili ikaita lkn ukikata cm huku kwako au kule inakoita akikata huku kwako itaendelea kuita, na itastuck hapo hadi uzime na kuwasha computer.....hii ya kuapdate firmware kuna baadhi ya modem inaweza fanyakazi.
   
 7. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Najaribu kupata Idea toka kwenye maelezo yako. Tafuta modem ya Tigo zile za zamani na tumia qpst kucopy firmware then unakuja kuiweka kwenye hiyo nyingine, haiwezi kufanya kazi?..ni Idea nimepata hapo kwenye maelezo yako, nitaijaribu kama ikifanya kazi nitaleta feedback
   
 8. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  naomba nikujib tu message yako hasa kwenye hayo maandishi mekundu, kwamba wewe ndo umesababisha hata nikaua modem yangu coz nilisoma kwenye thread yako ya kuchakachua modem za tigo za costomized firmwaree, ndo nikaenda kuapply, siungesema tangu mwanzo wakati unaipost kuwa ni uzembe mbona umeelezea tena kwaufasawa aina yako?
   
 9. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  iam facing the same problem!!and nilitaka kudo the same thing illa ukitumia huawei modem unlocker inakuwa unlocked temporary..then ukidisconnect inakuwa locked tena
   
 10. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  pole brother mie naitwa yussufmzee sina thread kama hiyo. fanya revision ya hiyo thread na uangalie kwa makini. sijawahi kumwambia mtu aiupdate firmware.
  kuapdate firmware kuna athari tatu:
  1) kuweza kua unlock modem na kuifanya iwe more useful
  2) kuiuwa moja kwa moja na ku-i-render useless
  3) kuilock modem ambayo imeshakuwa un-locked na matokeo yake kuifanya isisome simcard hata ile ya asili.(original)
  again muangalie vizuri nani muanzilishi wa hiyo post na pia fuatilia kwa makini post zangu zote kwenye personal page yangu. hamna kitu hicho
   
 11. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yes mkuu. tatizo linakuwa ni firmware na software(dashboard) hazijakubaliana au hazijaoana 100%
  kwa hiyo uchague moja kati ya njia mbili
  1) easyway: tafuta software mbadala au update au timia latest version ya dashboard. (risk free)
  2 ) hardway: update firmware ili ikubaliane na software. (at your own risk)
  mie natumia latest version ya huawei mobile partner na ni mtelezo kabisa hamna tatizo lolote. napiga simu. napokea. komputa haikwami wala nini.
  tusichanganye majina please: huawei mobile partner na huawei mobile connect. vitu tofauti hii partner ndio imekubali fresh kabisa.
   
 12. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
 13. T

  T.K JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye Bold na mimi yalinikuta nikakaweka kamodem kangu ndani maana nahisi hakana kazi, sasa wewe yusufu mzee hebu toa ushauri hapo nafanyeje
   
 14. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kama ni option namba 3 cha kufanya ni ku fight upya kui unlock kama vile ku-change firmware.(ku-fight maana yake unapigana inaweza ukashindwa na ikawa story za option namba 2)
  kama ni option namba 2 ndio iko wazi. ( ni marehemu modem)
   
 15. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Guys if u r a noob...dnt try these thngs u'll endup bricking ur gadgets and devices!
   
 16. b-crack3r

  b-crack3r Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  bro i first time i try that thing also nilikutana na problem ingawa sio kama lako,what i did next nilitoa data card yangu(sim card) ni kajarib tena ikakubali kilichofata nilipoweka tena sim card yangu ikawa inataka CDMA card nikaingia tena online nikatafuta another firmware version nilipojarib ikakubali so the problem is unaweza ukawa ulichukuwa firmware version ambayo haipo compartible na device yako bro.and if nikiweza kuipata firmware niliyotumia second time nitai-attach for you bro.......:ballchain:
   
 17. b-crack3r

  b-crack3r Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Greatness is a road leading towards the unknown-Charles de Gaulle


   
Loading...