Laptop yangu ina tatizo...!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,106
2,504
Nikiwasha laptop aina ya Compaq, ile power light inakuwa kama inablink haraka sana huku adapter ikiwa connected to the laptop and power socket na umeme unapita vizuri tu, sasa nilijaribu kutoa battery na kuwasha laptop bado mambo ni yale yale, nikadhan labda battery charge imeisha, nikaicharge kwa muda, then nikachomoa adapter cable na nikawasha laptop tena, power light kublink kupo pale pale.
Sasa sijui hili tatizo solution yake nini?
Naombeni msaada!
 
Back
Top Bottom