Jamani yamenisìnda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani yamenisìnda

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tizo1, Jun 11, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani pc yangu imekufa inaìtaj Window XP Professional CD ROM.inauzwa wapi jaman?Pia ni bei gani?mwenye nayo anijuze.za ku kopy zimegoma kabisa
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tijfunze kutrobleshoot probem.

  Mpaka hapo unapotea maelezo huelewki tatizo la laptop yako ni ni hasa.

  So faya njia inaitwa troubleshoting by isolation ili uondoea hisia ya chanzo halisi cha matatizo ya laptop yako.

  Maana kwa maelezo yako haraka haraka naona unataja matatizo haya
  - PC imekufa? imekufa nini?? HDD, CD ROM ,etc its only by isolatin ndo utajua tatizo halisi
  - Kukopy zimegoma. Zimegomaje?

  Otheriwise tafuta mtaalam akuchekie lakini naona tatizo ulilonalo ni kwamba hujajuta tataizo halisi linasombua PC yako na unashindwa kuelezea vizuri.
   
 3. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Kununua cd mpya ni bora utafute mashine used
   
 4. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wala hamna kitu kama hicho kuwa cd za kukopi zimegoma mpya itakubali. sahau sahau sahau!!!!!!
  kwani cd za kukopi kama hazijachunika ni sawa na cd ya original.
  na cd ya original iliyochunika ni mbaya kuliko ya kukopi ambayo haijachunika.
  kama inagoma maana yake either cd unayotumia haijakopika vyema au mlango wako wa cd (cd rom drive) ndio wenye matatizo
   
Loading...