Nina website ambayo awali nilitumia static html and simple javascripts pages,ikawa inawork vizuri katika Dreamweaver.
Nimejaribu kuongeza baadhi za features na kufanya implementation kwa kutumia...
Hawa jamaa kila nikiona yale mabango yao na jinsi wanavyosema ukiwa na zantel kifurushi chako kinatumika taratibu kama mshumaa, nawashangaa sana.
Sasa hapa ina maana speed yao ni ndogo ndio...
Nimejiunga na kifurushi cha unlimited for 30 days cha vodacom
aisee ina speed nzuri cjapata ona naeza download like 4 GB Kwa masaa 12. usipimee
nawashauri mtumie hiii...
Jaman nko katka wakat mgum, hyo namba inanisumbua lakn mmiliki wake smjuw! Tafadhali,mwenye skills za intelijensia, anipe data za hyo namba ni nan na yuko wapi?
Poleni wana JF wote kwa majukumu.
Ivi karibuni nimejiunga na hiyo bank ili niweze kupata baadhi ya huduma zake za kibenki while I am at home or anywhere provided internet ipo. Nishapewa ID na...
Jaman wana JF.Nimeuziwa monitor aina ya IBM flat scree,Haina cable hata moja.Je inatumia cable sawa na flat screen nyingin au IBM Cable zake ni tofauti? Vp indumu au ni bomu?sijui vitu vya...
Nimenunua modem ya voda juzi tu. Tatizo inakula sana. Nimeongea na customer care usiku sana maana muda wa mchana hawapatikani. Jamaa akaniambia kununua bundle niweke elf 10 kisha nitume neno...
WanaJF mambo vp?. Kuna chaneli mpya ya Star tv ya Mwanza imeanzishwa inapatikana kwenye satelite ya NSS12 ku_band _57degree East inapopatikana KBC1 ila bado wako kwenye majaribio kwa parameter ya...
Hi
Just sharing, links are working
Windows Server 2008 Bible
http://www.megaupload.com/?d=2U0TK5BA
Windows 7 Bible
http://www.megaupload.com/?d=HLLHAPJC
Microsoft Office Visio 2007 Bible...
NEW YORKGoogle Inc. hopes to nudge consumers and merchants into a world where the smartphone has replaced the wallet as the container for credit cards, coupons and receipts.
While it tackles...
habari za mida hiii
natumaini kuwa wote wasoma hii kitu ni wazima....
sasa wanajamii nataka kujua kama naweza kupata zile sms center number ambazo naweza kuna katuma sms for free jombaa..maujanja...
Wadau samahani hiv kuna altenative ya kudownload nyimbo kwenye website yenye vikwazo vya kudownload kikiwapo cha kuilipia nyimbo kwanza kabla ya kudownload?
Nashindwa kuelewa mstakabali wa elimu ya bongo na mapokeo ya ICT
Nimejuzwa na ipo katika matangazo ya Chuo kikuu huria cha tanzania kwamba kinatoa mafunzo ya awali ya computer kwamba wahitomu...
wadau mambo
nataka kununua bidhaa mbalimbali toka nje kupitia mitandao,lakini nimesikia ipo mitandao ya kitapeli.Naomba mnielekeze mitandao inayoza vitu vipya na used na iwe ni waaminifu.Si...
wakuu, nisaidieni nimepata taarifa ya Hesabu za Bunge kwa mtu amenipigia simu.naomba mnisaidie nahitaji kutafuta GAZETI LA NIPASHE LA TAREHE 28/5/2011 kwa njia ya mtandao sijafanikiwa kupata kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.