Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ramso11, Jun 13, 2011.

 1. R

  Ramso11 Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  Naoma msaada wa moderm yenye speed kubwa kuliko zote. Na jinsi ya kulipia kwa unlimited katika mitandao yetu.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu kwa ufupi akuna modem yenye speed ndogo kwa bongo, maana modem zote zinauwezo wa speed kubwa zaidi ya zinazotolewa na ISP.
  Speed nzuri inategemea mambo kadhaa ikiwemo location,bundle nk.

  Tembelea huu uzi kwa majibu zaidi moderm-nzuri-kuliko-zote-ni-ipi-tigo-airtel-voda-zantel-ttcl-what-is-the-best.html
   
Loading...