Nitajuaje hii ni genuineDell machine

Nitajuaje hii ni genuineDell machine

Dell sifa yao moja ni customization,wapigie simu au nenda online waambie unataka computer yako iweje...speed,space or combination,screen size,colur etc watakutengenezea halafu watakutumia.
kwa pesa lakini.
 
Most of the dell products has a service tag number...record the service tag number or serial number and go to Dell website and choose live chat then give them those numbers to see if your product is genuine...

All the best.
 
Sasa kama ndio ushanunua ukagundua kitu cha mjomba mchina what will u do?
Most of the dell products has a service tag number...record the service tag number or serial number and go to Dell website and choose live chat then give them those numbers to see if your product is genuine...

All the best.
 
Nataka kununua computer ya dell. Nitajuaje kama haija chakachuliwa
Kwa uhakika zaidi nunua toka kwa dealers hawa Simply Computers au Infosys hawa watakupa Warranty ya mwaka mmoja Kama utapata tatizo.
 
Back
Top Bottom