Msaada katika kuhusu Shock ab-sober za umeme

Msaada katika kuhusu Shock ab-sober za umeme

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
366
Reaction score
69
wana-JF habarini ya majukum, mwenzenu naombeni mnipe maelezo kuhusiana na shocks up zinazotumia umeme kwenye gari aina ya Toyota Amazon ya mwaka 2004, wiki iliyopita nilikuwa nimepeleka gari kwenye full service nikaambiwa kuwa shock up zimeisha natakiwa kuzibadilisha na fundi akawa amenishauri kuwa niweke za kawaida (zisizotumia umeme) swali langu ni kuwa nikiweka hizo za kawaida hakutakuwa na fault yeyote ktk mfumo wake wa electronics? But fundi msaidizi aliniambia (alinidokeza pembeni kuwa waliwahi kufunga hizo mwaka jana na hazikuweza kufanya kazi kama mwanzo ) Au kama kuna fundi mzuri mnaemjua naomba mnipe mawasiliano yake ili waweze kunifungia hizo shockups, nafikiria kupeleka gari ofisi za Toyota hapa bongo but naogopa kukamulliwa mahela mengi. Nisaidieni kwa hilo jamani. Natanguliza shukrani zangu
 
Nadhani umeme unacontrol zile settings tu, yaani utakuwa gari unaweza kuweka suspension sport/hard/ etc so ukiweka za kawaida utakuwa hauna hiyo setting.
 
Nadhani umeme unacontrol zile settings tu, yaani utakuwa gari unaweza kuweka suspension sport/hard/ etc so ukiweka za kawaida utakuwa hauna hiyo setting.
Nashukuru kaka je kama nikinunua kama zile zilizokuwepo mwanzo hawa mafundi wetu wataweza kunifungia ili ziweze kufanya kazi kama zile za mwanzo? Na hapa mjini dar ntaweza kuzipata wapi?
 
mimi ningekushauri upeleke gari Toyota wakakufungie wao......hii ya kubahatisha bahatisha itakugharimu......mafundi wengine wanasema wanaweza kumbe wanajifunzia kwenye gari lako......bora ugharamikie lakini uwe na amani moyoni mwako.........rahisi gharama ujue
 
Akienda toyota ajuwe anaweka 1m nakuendelea chini.Ningekushauri uende toyota kunua za kawaida, za gas huwa naona kuwa ni poa zaidi. Bora ziwe genuine sio za china au taiwan.
 
Nashukuru kwa ushauri, nitapitia leo kuulizia gharama inakuwaje.

Back
Top Bottom