Salaam wana jf,nimekuwa naona watu wanazisifia hizo modems za safaricom kwamba unaweza tumia line ya mtandao wowote ule hapa tz.swali ni kwamba,zinauzwa maduka gani hapa dar,au ni mpaka kenya tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.