MSaada; SOftware ipi nzuri kwa ajili ya kurecord dawa kwenye duka la madawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSaada; SOftware ipi nzuri kwa ajili ya kurecord dawa kwenye duka la madawa?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Zasasule, Jun 11, 2011.

 1. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hello brothersss.
  nahitaji msaada wa mawazo yenu,je ni software ipi nzuri kwa ajili ya kurecord dawa kwenye duka la madawa?
  nimefikiria kuhusu microsoft access lakini nahisi itakuwa complicated kwa huyu mtumiaji couse yeye ni newbie wa computer kabisaaa....
  Yaani is there anysoftware ambayo itakuwa easy in record keeping apart from excell?if yes naombeni munipe jina la hiyo software...


  sHUKRAN
   
 2. Einstein

  Einstein Senior Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Software yaweza tengenezwa kwa ajili yako na iwe more friendly.. Kwa hiyo unaweza uka-tu-Consult ma-Programmers ili tukutengenezee Software specifically kwa ajili ya duka lako la madawa kutegemea na mahitaji yako.. Karibu
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nadhani mahitaji yako yanajicontradict. sijui kama utapata applicatio ambayo ni easy kwa newbie na tayari umeshasema isiwe excel. Ina maana utammuweka darasanai huyo new bie jinsi ya kutumia hyo software? Nadhani cha muhimu tafuta application ya kufanya kazi zako vizuri. usitafute easy application ambayo inaweza kuuwa rahisi kutumia lakini mwisho wa siku ikawa inakutlea ripoti za uwongo. Kwa hara haraka nadhani ukitafuta mtaalaam au wewe kama unao unaweza kukutengezea apllication hiyo kutumia Excel au anaweza ukutengezea database simple kutumia Ms acess.

  Huo ni ushauri wangu

  Otherwise sijui ukubwa wa hiyo pharmacy ukoje unaweza kucheki hapa PHARSOFT,Chemist Pharmacy Information System. But hii nadhani inawafaaa watu wenye pharmacy kubwa au chain ya pharmacy
   
Loading...