Hii flash vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii flash vipi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Osaba, Jul 1, 2011.

 1. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,722
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wakuu hii flash yangu ina 8gb nimejaribu kuiformat kwa njia za cmd na njia ya kawaida haitaki kabisa ikifika mwisho inaandika format did not complete any help pls.
   
 2. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Angalia usiwe umeingizwa mjini, kuna flash za sony huwa zinasambazwa zimechakachuliwa. Zimeandikwa kuwa zina capacity 8 gb, lakini ukweli ni 280 kb, ila zina kuwa zinadanganya system yako kuwa ni za 8 gb. Ukiformat inagoma, kama ndiyo aina hiyo jitayarishe kulia maumivu. Fuatilia lik hapa chini uoengee na wengine walioulizwa hapo zamani. Enjoy your day!!!!!!!

  500 GB USB Thumb Drive Sony Flash Memory Drive Does Not Exist Beware Of Flash Memory Fraud! Are You Foolish Enough To Buy One On eBay? swool1949 – United States eBay Flash Memory Seller – Test Immediately To Verify Advertised Capacity. Pl

  http://www.seoulcc.org/consumer-alert-sony/Report_on_Sony_Thumb_Drives.pdf
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Inawezekana na ya kwangu ni hiyo hiyo? maana ya kwangu iliyo na shida ni Sonny pia.
   
 4. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,722
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ya kwangu sio sony na ina document kama za 7gb tatizo hauwezi kudelete kitu kuingiza kitu au kuformat inaandika write protected
   
Loading...