kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 811
kwa popote pale ambapo hupati jamiiforum na mitandao mingine ya kijamii kama youtube facebook nikimaanisha baadhi ya nchi wamezuia tumia hii software natumai itakusaidia najua mtauliza kwanini nimeweka naombeni mnisamehe kuweka hii kwenye hili jukwaa ila ndio jukwaa ninalotembelea sana