Jamani nisaidieni wenzangu kuhusu website yangu hii

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Ninayo website yangu. Nilifungua email account info@kaalamoto.com kwenye hii hii website kule kwenye webmail.
Nilizoea kuweka email address yangu na password kisha naingia ndani na nahudumia barua zangu.
Na kwa kuwa nalikuwa natumia hii mozila ambayo ilikuwa imetunza password yangu sikuwa na shaka kuwa iko siku nitaisahau.
Sasa nilipo upgrade Mozila kwenda version 4 ilifuta cookies na sasa natakiwa ni login lakini naona kila nikiweka password ninayokumbuka inakataa. Inaelekea nimesahau password.
Shida ni kwamba sioni mahali pa kunisaidia ku reset password. Je kuna njia nyingine naweza kuitumia kupata password yangu au ku reset hiyo password.
Mwenye maujuzi anisaidie maana hapa ni kisiwa cha technology.
Asanteni.

Login
Email
Password


© cPanel, Inc. 2011
 
Mimi mwenyewe ndio admin mkuu maana nimewatengenezea na wengine account zao na wao wanaendelea bila shida. Mimi nilitengeneza ya ofisi ambayo ndio kama nilivyotoa mfano info@kaalamoto.com. Kule zinaletwa barua na queries mbalimbali na huko ndiko siwezi kungia!
 
Hiyo website unatumia application gani? I mean is kaalamoto.com a wesite au ni just web mail.

But kama alivyokushauri jamaa hapu juu njia rahisi ni

I
kuomba admin wa ulipohost hiyo website. Bu ajabu nikijaibu hata kufungua kaalamoto.cm sipati kitu. So labda maelezo yako sijayaelewa

II
Sijui unatumia Windows gani Firefox inahifadhi cookies kwenye file linaitwa Sqlite C:\Users\<user name>\AppData\Roaming\Mozilla\Firefox\Profiles\<some profile number>.default\cookies.sqlite . May be profile ya cokiesya firefox ya zamani na hiyo mpya zina tfauti so jaribu uahmisha hilo file kuliweka kwenye profile mpya. NB this is just a try sia uhakika
 
Mkuu mtazamaji hiyo kaalamoto.com nimeweka kama mfano tu actually website yenyewe haina jina hilo mkuu wangu.
Host wangu wa website ni Jamiimedia mkuu wangu. je wanaweza kunisaidia wao?
Natumia window xp mkuu. Lakini hata hivyo matumaini yanaweza kuwa madogo maana nimekumbuka kuwa nilishawahi ku format computer yangu! Sijui nifanyeje!
 
Mkuu mtazamaji hiyo kaalamoto.com nimeweka kama mfano tu actually website yenyewe haina jina hilo mkuu wangu.
Host wangu wa website ni Jamiimedia mkuu wangu. je wanaweza kunisaidia wao?
Natumia window xp mkuu. Lakini hata hivyo matumaini yanaweza kuwa madogo maana nimekumbuka kuwa nilishawahi ku format computer yangu! Sijui nifanyeje!

Kama ni jamiimedia wasiliana na admin wa jamii media sio tatizo kubwa
 
nafikiri ukiweza ingia cpanel unaweza badilisha.. au mahost hawana cpanel? au pass ya cpanel pia umeisahau?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom