Msada watalam wa satelliti tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msada watalam wa satelliti tv

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mufiyakicheko, Jun 5, 2011.

 1. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  msaada mwenye uwezo wa unlock codes tv

  mfano satellite tv 36.0e kuna chanel zilizo fungwa kwenye BISS na NAGRAVISION na betacraypt inasemekana uwezekano upo wa kuzifunguwa

  Kuna-cryptoworks
  -biss
  -nagravision
  -skycrypt
  -conax
  -nds
  -powerVU
  -firecrypt
  -irdeto
  Wana jf data tafadhali mwenye maujanja

  68.5e key tv
  7.0e key tv
  4.8e key tv
  36.0e key tv nanyingine nyingi munazo zifaham

  ninatanguliza shukilani
  mufiyakicheko@yahoo.com
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hapa mimi sielewi kitu watalamu na waje wa hack hii kitu na sisi tujifunze
   
 3. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jf kuna wataramu wa fani mbalimbali naimani watatumwagia data
   
 4. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwanza mkuu kitu kama conax (inatumia na mytv africa ya ghana) na irdeto 2 (inatumiwa na dstv au multichoice africa ) haiwezekani kupata key. kwani key inabadilika mara kadhaa ndani ya dakika 1.
  zamani miaka ya 2005 kujia nyuma ndio tulikula key enzi za irdeto 1. na nagra nao pia wameshafanya kitu hicho hicho .
  sasa search thread inayoitwa cardsharing humu humu JF.
  solved and case closed.....:becky:
   
 5. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  yussufmzee@ nimalizie mawasiliano

  Kabura ya yote nikushukuru umenifunguwa akili nimehangaikakwamda mlefu nimewai tumiya sisitim yakufunga dishi 2 moja kwaajili ya sigino ya2 kwaajili ya data nikweli iliwezekana mdakidogo waliishitukia

  Kwasasa kuna kitu inaitwa dongo inafunguwa ira sinahamu tena nafaham haitachukuwa mda

  mimi ni na reclever STRONG-SRT4930 MPG4 HD PVR naina sehem ya intanet na destop ninayo tayali imeunganiswa na intanet kwakutumia modem naomba data iliniendele kupata dstv
  Kuna strong mpg2 SRT 4653X yakawaida

  nikweli ukimwaga data hadharani unaweza halibu niwatutofauti wanao ingia jf hadi watumishi wa dstv katika kuhangaika baadhi ch zilizo fugwa biss ninafanikisha kufunguwa

  Ninakusubili maelekezo dishi nilisha funga w7 36.0e kamautaona haiwezekani kumwaga data hapa nitumie mufiyakicheko@yahoo.com ninatanguliza shukurani
   
 6. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwenye w7 36.0e kuna chanel zap tv kwenye mpg4 ira zimefungwa kwenye nagravision hiyo sisitimu inaweza ikafunguwa?
   
 7. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  aaah mwanangu weye kweli unastahiki kupata DSTV maana una full mkonoto. hebu itumie macho thread hii. itakuendesha tata kama hatua kadhaa mbele. lakini uisome kwa utulivu mpaka concept yake uifaham.

  https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/136933-card-sharing-multichoice-africa.html

  challenge ni kupata c lines ambazo huwepo internet.katika forums mbali mbali hasa za wa pakistani. kuna baadhi ya site zinauza c lines. kwa bei as little as 10 dolar ambapo inakuwa ni fasta na unapata full channels. ukifanikiwa kuunda nishtuwe. na ukikwama ni PM
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Mkuu YussufMzee nakupa zote

  Naomba ushauri wako kwenye hizi receiver za dish aina ya MediaCom huwa zinakuwa na kijisehemu cha kuingiza kadi pembeni kabisa,sasa nataka kujua pale naweza kuingiza kadi gani ikatumika,na kama kadi hizo zipo zinapatikanaje

  thank yu in a^dvanc`e
   
 9. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mediaco sizote unazo weza kuweka kadi inakuwa nitobo tuu Nakuhusu kadi siku zanyuma dstv ilikuwa kadi zawo zinakubali lisiva yoyote kwasasa huo mfumo wamefuta wanauza dekod na kadi huwezi haisha kadi ikafanya sehem nyinginekwasasa unaweza kutumiya kadi ya my tv hiyoinawezekana kuhusu upatikanaji sijajuwa wewe unapatikana wapi? wanamaajenti wao ingawa kwa tanzania siwengi kwamajirani zetu zambia kira mkowa kuna maajentikadi inauzwa sh 32000Malipo kwamwezi 25000
   
 10. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  inakuwa ni bora kufaham kuwa kila shirika la pay tv (mytv, dstv, etc) wanachagua shirika la kuweza kuwalinda na piracy kama vile kampuni yoyote inavyoweza kuchagua kampuni nyengine ya ulinzi. (eg ultimate security, knight support, etc)
  sasa hawa mashirika wa kulinda hizi tv ndio wana system zao za encryption yaani kuyazonga yale matangazo yasionekane kabisa ila kwa anayestahiki kupitia kadi zao.
  dstv wao wanatumia irdeto 2. (zamani walikuwa wanatumia irdeto 1 maheka wakawachakachua , wakabadilika)
  mytv africa wanatumia conax. (ni encryption nzito inayotumia bit nyingi kuliko encryption nyingi)
  na kwa wale wenye kutumia reciever za free to air watakutana na channel mbali mbali ambazo zimefungwa kwa kutumia technology kama vile betacrypt, nagravision na nyingi nyenginezo.
  tukiendelea na lesson ujue kuwa kila reciever yenye card imetengenezwa kwa ajili ya system fulani tu. kwa mfano huwezi kuwa na reciever yenye card ya irdeto ukata kutizama mytv. haiwezi kukubali.
  in the same way reciever inayo weza kuonesha (kudecrypt) dstv haiwezi kuonesha mytv africa.
  na pia kama alivyosema mshkaji hapo ila hiyo sina hakika nayo kuwa hawa dstv wana sera zao (kuwa hawakukubali mpaka ununue marisiva yao) ijapokuwa kama weye una reciever ya irdeto wakikuuzia kadi tu basi mambo powa.
   
 11. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  pia kwa wale wenye madishi ya kuzunguuka au hata fixed kila leo new channels zinaengezwa. kwa hiyo kama ulikuwa una dishi lako lilofungwa miezi kadhaa nyuma na fundi , akakuwekea frequency za channels fulani, ina maana sasa kuna channel nyingi unaweza ukaziengeza au possibly channel nyengine zimebadilisha frequency kama walivyofanya itv miezi kadhaa iliyopita. ukitaka kufuatilia frequency za tv ambazo unaweza kuziangalia basi kuna website maarufu kwa frequency nazo ni hizi hapa.
  generally : www.[B]lyngsat[/B].com
  kama weye upo africa basi angalia Free TV - Africa - LyngSat
  lakini kuna channel zinapatikana africa pamoja na asia kwa mfano hii satelite iliyowekwa hizi channel zetu kuna channel nyengine toka asia pia zinapatikana hapa tanzania
  Intelsat 7/10 at 68.5°E - LyngSat
  cha muhimu uweze kuingiza frequency na symbol rate ya channel husika pia kwenye link kulia kabisa anaonesha kwenye map kama channel husika miale yake inafika eneo fulani au laaa.
   
 12. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  This is what JF about ! Great Info, Shukran mzee wa Paje (kwa Ndame)
   
 13. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  paje msada tafadhali
  Kuhusu tuner pci card HD TV model 32500 hazipatikani jee? Ambazo si HD naweezakuzitumiya? ninatumia windo pack2 2006 inaweza kufanyakazi au nirazima niibadilishe?

  Nina strong SRT 4930 HD.kwanyuma inasehem (jina.RS-232C) (connectar.DB-9) (function.LOW speed serial port) kunakadude furani kakuchomeka iyosehem kameandikwa.(sumlink ST-J0012 SNL) kanasehem yakuchomeka kebo

  functions IP settings.
  DHCP usage on - na - off
  Ip address 000.000.000.000
  Subnet mask 000.000.000.000
  Gateway 000.000.000.000
  DNS 000.000.000.000
  MAC Address 00:22:d3:03:02:a0

  nilielekezwa kwamba inafanya kwenye internet sikufatiliya kufatana namaelekezo yako mazuli nimeona kunaumhim kulifanyia kazi nimejalibu kufatilia kitabu hakuna maelekwzo ju yahii system setting kwauzoefu wako inawezekana nikweli inauwezo huo wainternt? ninatanguliza shukirani ninakutakia kazinjema naomba kt yoko
  mufiyakicheko@yahoo.com
   
 14. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna receiver aina (AZ DL 9000) AZ AMERICA nayenyewe nirazimauwe na computer? jee ukiwa namodem unaweza chomeka sehem ya usb ebu tujuze juu ya hilo mkuu kunanyingine (AZ DVB 500) ebu zidadavue hiyo ya kwanza inaweza funguwa key aina zote (viaccess,seca,irdeto,nagravision,alphacrypt,betacrypt,conax,cryptoworks,nds,powervu,skycrypt)
   
 15. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwenye kujuwa utendaji kazi wa (IPTV USB STICK NETWORK TV) inaweza fanya kazi hapa tanzania au inauweao huko us wadau msadatafadhali
   
 16. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  una2mia receiver gani?
   
 17. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ninatumia strong mpeg4 SRT 4930 HD
   
Loading...