pouwa bt na card inatakiwa iwe na kiasi gani cha fedha ili niweze kuitumia online?
inategemea unataka kununua nini,mimi huwa nanunua vitu online kwa kutumia paypal lakini kama nataka kununua kitu cha dola 500 basi akaunti yangu naweka sh laki saba na nusu za kitanzania,hii ukiconvert kwa dola baada ya manunuzi nAKUTA AKAUNTI yangu imebakiwa nakama sh 10000 za kitanzania,usijaribu kuweka pesa kwenye akaunti yako ya online kwani siku hizi wajanja ni wengi mno na hawana kazi za kufanya zaidi ya kutrace akaunti za watu mabalimbali mtandaoni.pouwa bt na card inatakiwa iwe na kiasi gani cha fedha ili niweze kuitumia online?