Hivi airtel wako siriaz kweli....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi airtel wako siriaz kweli....?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tindikalikali, Jun 30, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Thank you for using Airtel services. You have already used 0MB of your 0MB bundle, Your remaining balance is 0MB.....
  kila nikiuliza balance ya bundle wananipa huu upuuzi., je ni kwangu peke yangu au na nyie yanawakuta haya?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mimi niliona sielewi haraka nikaamua kupotezea
   
 3. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Wanata wa kwamgue salio lote lililoko kwenye modem/sim card yako, wakikupa ukweli utasituka na kujiunga kwenye bando haraka, kwani kwenye bando wanakula hasara.
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  pole sana mkuu...
   
 5. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwa mara ya mwisho hiyo bundle yako , ilikuwa umetumia ngapi? kama mpya ndo maana haijaungika. kwangu mie iko poa tu mbona
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  yani kifupi hujajiunga na bundle ndo server inavosoma. Kama mimi msahaulifu naweza ninunue credit halafu nsiunge bundle(akilini najua nimeunga) nkatumia credit yote baadae ndo nishtuke kua skuunga
   
 7. e

  erickmalz Senior Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mm huwa furesh tu,najiunga safi na salio wananionesha safi. Pole sana
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  sasa mkuu ulitaka liandike una salio 0Mb katika 400 Mb wkati ujaweka salio ni ngumu sana mkuu..
   
 9. T

  Technology JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Hata Voda wanatatizo hilo "Kwa sasa hauna kifurushi cha data/You currently have no data bundle" ila bado niko connected. inaboa saaana
   
 10. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  huwa nanunua 400mb lakn hawajawah kunionesha salio, sijakurupuka ndugu
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  bundle ipo natumia mpaka muda huu.
   
 12. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sasa mimi bundle yangu ya 400mb imeisha nimeweka pesa ninunue bundle nyingine wananiambia maliza ya kwanza ndio ununue ya pili wakati inasomma 0 kabisa yaani nimechoka kabisa.
   
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  jamaa wanaboa, mi mara kibao wananizingua hata kunua
   
 14. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwangu tatizo hilo halipo
   
Loading...