Kwa nini programmers wetu watanzania hawa sanifu na kutengeneza ANT VIRUS...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini programmers wetu watanzania hawa sanifu na kutengeneza ANT VIRUS...?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by TUJITEGEMEE, Jul 1, 2011.

 1. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,772
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Kila mtu anajua namna virus vya kompyuta vinavyogharimu muda na pesa pindi vinaposhambulia kompyuta ambayo umeifadhi kumbukumbu zako muhimu. Na pia mnajua jinsi wamilikiwa hizi anti virus zinazoaminiwa wanavyotunyanyasa kwa kutulazimisha ku update kila siku anti virus zao(pesa inatumika hapo). Sasa wanaJF kwa nini hawa wenzetu (programmers wetu watanzania), wasichukue furusa hii kutengeneza anti virus ya bei nafuu na imara kiulinzi(highly ranked computing security ant virus) za kushindana na Kaspersky,NOD, Bit D, na nyingine kama hizo.

  Sitaki kukubali kuwa programmer wetu hawapewi elimu stahiki ya source code=binary or 1,0 language(machine language) ambayo ni msingi wa kuwa programmer mzuri, bali wanajikita kutumia programming language rahisi .

  nawasilisha...wanaJF.
   
 2. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Tatizo pesa mkuu!!!

  project kama hiyo inabidi kuinvest pesa nying sana..ndio maana unaona makampuni makubwa pekee ndio yanaweza kuhimili...kama macafee avira etc.

  so ni investment kubwa ambayo inahitaji mtaji mkubwa kwa resource na vifaa, manpower na vinginevyo.

  kuna makampuni mengi mno ya antivirus kinacho washinda ni pesa za kurun hiyo bizness,

  sio ngumu kwamba watanzania hatuwezi kufanya ila ni ngumu kimtaji na kipesa. na sio kitu cha kutengeneza na kukitumia tu...ila ni muendelezo wa muda mrefu na ufanisi na kuajiri watu wengi.

  watanzania tunaweza ila umaskini ni kikwazo kama ilivyo kwa wenzetu pia.

  Naunga mkono hoja
   
 3. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,772
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Mliwahi kuwasiliana na COSTECH juu ya kuanzisha project kama hii,? Maana wanashughulika(COSTECH) na maswala kama haya ya kugharamia tafiti za kisayansi, nina imani hata hii inaweza kuwa project inayokidhi vigezo vya kufadhiliwa.

  Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH

  Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) is a parastatal organization with the responsibility of co-ordinating and promoting research and technology development activities in the country. It is the chief advisor to the Government on all matters pertaining to science and technology and their application to the socio-economic development of the country.

  Welcome to COSTECH website | COSTECH
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuuu hata wangekuwepo wenye uwezo bado model yao ya ufanyaji kazi isingekuwa tofauti na hao waliotangulia. Tena antivrus ya tanzania inaweza kuwa more expensive sababu wateja wachache itabidi ndo wafidie gharama kubwa ya utengenezaji na maitannce yake ?

  Pili sio antivirus tu sidhani Tanzania kuna kampuni yeyte inatengenza software. Programmer waliopo sorry tuliopo ni wale wa cu stomise program zilizotengenzwa tayari.
   
 5. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hata hayo makampuni uliyoyataja hayana pesa za ku run hio bizness......Billgate mwenyewe kachemsha kawaachia third parties
   
 6. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  you have to have a virus, to create an anti-virus .. :evil:
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu japo sijawai kujaribu lakini website yao inakatisha tamaa.
  Ukingalia kwenye kipengele cha research mhhhhhhh. naona soory tu

  Alafu inaonekana imekaaa kaaa kama priority zao ziko kwenye mambo Ya kilimo, mifugo

  Sababu kwenye ICT tanzania haiitaji kufanya reseach inatakiwa mtu atoe propsal apate ufadhili.. Sasa tanzania kama kuna research za Program zinafanywa ni Ufisadi mwingine.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kwanza AV ziko nyingi tu za bure ambazo ni nzuri ikiwepo ya Microsoft wenyewe Microsoft Security Essentials, install hiyo hautasumbuliwa kulipa ever again.

  Hii biashara ni highly competitive na highly complex, nina wasiwasi kama TZ kuna skilled manpower ya kutosha kuweza kufanya kazi hii profitably, very high maintanance, kila siku inabidi uwe unazitafuta virus mpya na kutengeneza updates.

  Hakuna market ya AV ya kitanzania na nina wasiwasi market yoyote ya consumer software hakuna, yaani ya kutosha kuiendesha biashara. Sana sana watu watajazana humu wanaomba keys za Bongo AV yako!!

  Mwisho kusema kujua machine language ndo unakuwa programmer mzuri ni dhana potofu, kama unahitaji kuprogram in machine language basi unahitaji kujua machine language, kama unaprogram in Java, Ruby or PHP hakuna haja kabisa ya kujua machine language.
   
 9. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mkuu,naunga hoja za wote waliotangulia,ni kweli kutengeneza antivirus ni gharama mno,tatizo pia ni hao maprogrammers hapa hamna,kwa utafiti wangu mdogo,wengi wanaosoma computer science wanadokezewa tu introduction to programming languages,hawazami ndani kiviile,n haohao wanategemea kupata fedha nyingi,ni kama paka na maziwa,AV iwe na mafanikio au isiwe nayo,mi lazma alipwe,,,na pia bcoz kazi hii ina ushindani,lazima uwe na team ya kusearch for viruses na kuzi-diagnose,kitu ambacho ni gharama pia,tena mnoo,so mpendwa,jiminye tu utumie kinga kabla hujatafuniwa tam taam zako na wadudu.........ni haayo tu!!!
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kaka COSTECH ni walewale ni kama asasi zote za serikali zilizopo bongo,hakuna yoyote ya maana inayojulikana zaidi ya kusajiri kampuni zinazofanya tafiti hapa bongo,watu wanasafiri,wanakula bila kufanya kazi yoyote pale,siku hizi hata workshop hawaendeshi na jengo lao limekuwa kama gofu sidhani hata ukihitaji data zozote utapata pale,kwenda COSTECH utakuwa unajipotezea muda wako buure
   
Loading...