Nisaidieni jamani, tafadhali!

Nisaidieni jamani, tafadhali!

James St. Patrick

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
172
Reaction score
72
ni kama cku 4 zmepita niliomba msaada jinsi ya ku hack simu yangu, nilifungua ile link ikafunguka nilipodownload kama zip ikagoma sasa nikaenda kwenye direct link nilipotaka kudownload ikasema mpaka ni login kwanza kwahiyo nikajiregister, nika2miwa email il niactivate a/c yangu. Lakini imeshindikana kulogin na hivyo nimeshindwa kuhack! Tafadhal mwenye msaada anisaidia au anipe a/c yake na pasword ili niweze kuhack cm yangu!
 
Back
Top Bottom