Nimesahau password. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimesahau password.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by luckyperc, Jun 28, 2011.

 1. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  WANAJAMII NINA SIMU YA SONY ERICSSON XPERIA ARC, NILICHEZEA PASSWORD MARA NYINGI SASA IMEBLOCK INATAKA username na password, username nimeweka ila password inanigomea, wakuu kuna namna yoyote naweza kufungua simu yangu kwani ninaweza kupokea tu siwezi kumpigia mtu mimi.
  sony.jpg
   
 2. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Daah hapo inabidi uiformat hiyo simu sijui unatumia Android OS au?
   
 3. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu nitaiformat vp wkt inataka account ya gmail na password na nimefanya hivyo ila imegoma kabisa.
   
 4. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Fanya ivi embu peleka kwa fundi simu then wana boxes fulan kwa ajili ya 4n repairing and flashng then wape tatizo they will help!u must use computer hauna jinsi cuz mm ni fundi simu pande za mbeya hapa.
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Nadhani nabidi uweke username na password za google account iliyo kwenye simu, plus inabidi uwe connected kwenye net.

  Ukishindwa hiyo inabidi ufanye hard reset.

  1. Turn the power off.
  2. Hold the Left(Back) and right(Menu) buttons located beneath the display
  3. Press and release the Power button
  4. Follow the on-screen instructions to hard reset your phone
  Hii itafuta kila kitu.
   
 6. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu mimi nilikuwa nina xperia x10i nayo ilinizingua kwwenye Google account nikaiformat kwa kutumia hard reset hii ni kama kuiweka simu kama ilivyotoka kiwandani coz inafuta kila kitu,mafundi wa mtaani wengi hawana mafolder ya kuflash ya Android OS so be careful coz hiyo hard reset wawezafanya mwenyewe.
   
 7. T

  Technology JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  The day that I am going to forget my password, I guess I will comit suicide..... Guys hivi hamuoni aibu daily kuja na treads za kusahau paswords
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  do u ve only one or u use the same for all x accunts?
   
 9. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Na mimi nilikuwa na mawazo kama yako kabisa! Lakini yamenikuta maana nimesahau password.
  Shida ni kwamba ninatakiwa kuweka password kila mahali na matokeo yake sasa inaleta confusion na usahaulifu.
  Usicheke wakunga uzazi ungalipo!
   
 10. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nafikiri majibu umeyapata mtu hapendi kusahau makusudi.
   
 11. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  unahold kwa muda gani

  then imeniandikia safe mode je nifanyaje?
   
Loading...