Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 988
Nimefurahi na hiyo shule wataalam mnayotuletea! naomba mnijulishe pia nawezaje kufanya partition ya laptop yangu...ina system C tu 250GB (150 free space/unused) haina partition na kama kuna software ya kutumia bila kulazimika kuweka backup maana nina mafaili mengi humo na sina external hard drive ya kuhamishia...Nimeona partition manager lakini naogopa kuianzisha kabla ya kuuliza wataalam......tatizo lolote linaloweza kutokea?....troubleshoot