Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina kazi yangu nimeiweka lock. Sasa kila ninapofungua inanidai pw. Nitaitoa vipi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa "softwire" itakayo iwezesha pc yangu kutuma sms. pili naombeni softwire ya kuweza ku "locate" simu ilipo! Nataanguliza shukrani! ​
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimerudi tena wanajamvi, nime install Award keyloger pro Trial Version kuna mwenye key ili ni activate ?? natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
776 Views
kwa wenye kujua naweza kuipata wapi software rahisi kutunzia hesabu kwa wanachama wasiopungua 1,000?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji kubadili windows xp to window 7 home basic, nina soft ware ya w 7 hb. Naomba mwongozo sina utaalam huo. Natanguliza shukrani zangu kwenu Wana JF
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu. Jamaa yangu ana mpango wa kuanzisha FM radio mjini Dar (tayari ana leseni na frequency). Anatarajia kuunganisha matangazo toka Dar kwenda kwenye vituo vya kurusha matangazo katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nina Dell Inspiron ambayo inasoma Dvd peke yake. Naweza tatua hili tatizo? Au inahitaji ninunue Cd-rom mpya?
0 Reactions
2 Replies
915 Views
I'm sure you are familiar with the traditional way to kill or end a process in Windows using Task Manager. This method is effective but not nearly as fun as killing a process in Command Prompt...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF wenzangu! Kutokana na tatizo hili la poor 3g signals kusumbua wengi,nimeamua kuandika kwa mara ya 3 njia nyingine ya kuongeza signals za 3g endapo utakuwa mbali na mjini ama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
How would you like to change the logon screen background in Windows 7 so as to give your Windows a customized look and feel? With a small tweak it is possible to customize the Windows 7 logon...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naombeni mnisaidie kitu kimoja nataka nitumie PC yangu kama wireless Internet Transmitter na natumia modem ya kawaida tu ya Airtel nifanyeje?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba niulize tena huku; Nataka kununua charger ya battery ya gari ili kukabiliana na mgao wa umeme. Je, zinapatikana wapi, na kwa bei gani?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wajumbe samahanini hiv katika ufuaji wa nguo kuna baadhi ya nguo huwa zinachuja rangi(kuacha rangi yake katika maji pindi ufuapo) je kuna mchanganyiko wa kitu au kemikali inayoweza kuzuia tatizo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
je Umewahi kuztaza hii dcuemntary video kuhusu consipircay theory ya HIV AIDS? Nni chanzo cha HIV na nini inaweza kuwa chanz cha AIDS? (kwa mujibu wa mawazo mbadala...) Tazama hii shocking...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, naomba mnisaidie, nilinunua laptop ya hp pavillion dv9000, ya mtumba yenye window 7,kufika nayo huku kijijini, nikifungua my computer sion cd rom,na hata ukiweka cd inazunguka tu haisomi.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cheki huu mfano,nunua usb cable extension na utumbukize modem yako kwenye chombo cha aluminum.utapata signals za ukweli! HIYO PICHA YA MWISHO KULIA NIMEJARIBU KUONYESHA MODEM IKIWA BADO...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada wa kuhamisha namba simu kwenye iPhone kwenda simu nyingine
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamii wenzangu naomba msaada ni jinsi gani nitaweza kpiga na kpokea simu kwa ktumia moderm yangu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
There is a problem with this website's security certificate. The security certificate presented by this website has expired or is not yet valid. Security certificate problems may...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wataalam natafuta power supply ya desktop Gx 520,naomba aliyenayo aweze kuni pm, all the best
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom