moderm

moderm

mabina

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
228
Reaction score
39
Wanajamii wenzangu naomba msaada ni jinsi gani nitaweza kpiga na kpokea simu kwa ktumia moderm yangu?
 
Wanajamii wenzangu naomba msaada ni jinsi gani nitaweza kpiga na kpokea simu kwa ktumia moderm yangu?
Inabidi uwe na earphone tu unaichomeka na kwenye sehemu ya wawezeshaji wako(kampuni) chagua call na namba zitatokea piga na uongee.
 
Ok, ahsante vipi unaweza ukaweka loudspeaker?
 
Back
Top Bottom