Charger ya Battery ya gari

Charger ya Battery ya gari

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Naomba niulize tena huku; Nataka kununua charger ya battery ya gari ili kukabiliana na mgao wa umeme. Je, zinapatikana wapi, na kwa bei gani?
 
Mi ningekushauri ununue solar panel kwani itakuwa inachaji betri lako bila ya gharama yoyote coz betry charger linatumia umeme kufanya kazi.
 
Nafahamu mkuu, but kwa maeneo niliyopo ukiweka solar panel leo, inachukuliwa usiku huohuo...
 
Kwa hatua uliyofikia mkuu... Suluhisho ni kuandamana hata peke yako!! Khaaa!
 
Nafahamu mkuu, but kwa maeneo niliyopo ukiweka solar panel leo, inachukuliwa usiku huohuo...
Huo wizi wa kupanda juu ya mabati ni kiboko sijawahi kuuona.
 
Back
Top Bottom