Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Simu imeokotwa, maeneo ya Mlimani City jana asubuhi ikiwa haina chaji. Leo imewekwa chaji, ina PIN kwenye maeneo yote haiwezekani kuiwasha. Kwa aliye poteza simu maeneo ya Mlimani City siku za...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
The Bugatti Veyron is a modern automotive legend. The sleek speedster from Volkswagen boasts a top speed of over 260mph, making it the fastest road-legal car in the world, and it has a stunningly...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Its Nokia 6300...help me guys...whnevr am tryn' naambiwa 'DOWNLOAD FAILED' bt 4 othr stuffs like videos,mp3 music,photos hazina shida..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Za leo wana JF, naombeni mnieleze wapi nita download video kwa format ya mp4 na sio 3gp
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nawasalimu wana jf? Mimi bwana nimeanza kutumia hii huduma ya dstv mobile ya vodacom, na huduma hii walivyotangulia kutangaza, walisema huduma hii ni bure, lakini cha ajabu ninapotazama channel...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi wanateknolojia. Kama mnavyojua nchi yetu ni ya kisiasa zaidi. Na hata sisi wenyewe tu wanasiasa. teh teh teh Sasa nimepta wazo kutokana na mambo mazuri na mabaya yanatoea ingekuwa vizuri...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Halow JF KUANZIA TAREHE 23/JUNE WALE JAMAA WA SYMBIANSIGNED WAMEBADILISHA SITE YAO SO HAWATATOA .cer na .key ANYMOREEEEEE SO HUTAWEZA KU HACK SIMU TENA..KAMA ULISHAWAHI KUPATA .CER NA .KEY...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimefungua group hapa JF ila natak kubadilisha jina lake kutokana na ukweli kuwa malengo na mtizamo wa group umebadilika kidogo. naomba msaada jnsi ya kubadilisha group name, maana naona option...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi! Nachukua shahada ya uhandisi yaani 'Electronics & Communication Engineering', nakaribia kujiandaaa kufanya project kwa ajili ya kumaliza, kichwani kwangu nahisi sina mwongozo wa kutosha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
jamani tahadhari hii hapa, wote mliokunywa kikombe kwa babu na kuacha kutumia dawa zenu yanaweza kuwakuta makubwa, nina rafiki wa karibu alikuwa anatumia ARV alivyorudi kutoka kwa babu akaacha...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimefungua internet cafe sasa nahitaji kulimit kudownload files not more than 3mb nafanyaje msaada wajuz.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WanaJF wenzangu mambo vp?.Naombeni msaada wenu wakuu kwenye simu yangu ya Nokia N93i imekumbwa na tatizo la kutofanya kazi kabisa nikiiwasha inaniandikia PHONE START-UP FAILED.CONTACT THE...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
wakuu habari za saa hizi poleni na majukumu..wakuu naombeni msaada wa activation keys za window vista home premium na hitaji sana..natanguliza shukrani za dhati..
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Apple Mac OS X Lion goes on sale todaykatika pitapita yangu nimeona hii habari njema kwa wapenzi wa Mac. Nimeona tushee. Hii upgrade ni 4GB na hakuna njia nyingine ya kuipata except kudownload...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hallo wana JF, Naomba ikiwa kuna yeyote anayefahamu namna ya kuconvert PDF document au mwenye software hiyo anisaidie tafadhali. I have something in PDF that I have to convert to word doc and my...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Naombeni msaada wa driver za USB Desktop aina ya ACER VERITON M261.Nilikuwa nainstall kersperky ikapoteza driver za USB
0 Reactions
8 Replies
1K Views
How Firewalls Work If you have been using Internet on a regular basis or working in a large company and surf the Internet...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
7 Most Notorious Computer Hacker Groups of All Time With the recent attack on PlayStation Network and a bunch of high-profile websites, computer hackers are back in the limelight again. Hackers...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani sayansi ya HEP inaruhusu kurecyle maji kwenye mabwawa yetu au yanakuwa yamechafuka hayafai? maana wanasingizia maji yameisha na masika yameisha juzi je mwezi wa kumi si kutakuwa giza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Browse Facebook on mobile witthout Internet Connection Singapore—based software applications developer U2opia Mobile has developed a new application for mobile phones that will allow users...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom