Dawa ya nguo hizi!

Dawa ya nguo hizi!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wajumbe samahanini hiv katika ufuaji wa nguo kuna baadhi ya nguo huwa zinachuja rangi(kuacha rangi yake katika maji pindi ufuapo) je kuna mchanganyiko wa kitu au kemikali inayoweza kuzuia tatizo hili katika nguo za aina hiyo?
 
Mara nyingi nguo zitoazo rangi watengenezaji wake huwa hawazingatii ziwango sahihi vya chemikali za rangi na vitu zingi, kuweka chumvi hakuto suluhisha tatizo kwa maana chumvi inafanya maji wawe magumu hivyo povu la sabuni kuwa chache lakini haizuii kuchujisha
 
Kwahyo inahitajika omo au sabuni yoyote ya unga hata foma?
 
mh sabuni za unga nadhani zitafanya worse, idea niliyokua nayo mi pia ni kutumia chumvi na pia usikamue nguo zitoazo rangi na anika nje ndani
 
<BR><BR>

OMO ndo balaa! Labda uchanganye na hiyo chumvi.
OMO iko poa coz ina vipimo sahihi kwenye nguo zenye rangi foma wala usijaribu coz hawa wahindi wanataka kushindana na wakenya so wamezidisha vipimo matokeo yake unaharibu mikono pamoja na nguo
 
Back
Top Bottom