Power supply GX520

GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
716
292
Wataalam natafuta power supply ya desktop Gx 520,naomba aliyenayo aweze kuni pm, all the best
 
njoo kinondoni b .kituoni kama unaelekea mwenge hao kituoni kwa nyuma kidogo kuna jama anazo hizo vitu ,au nenda msikiti wa mtambani kinondoni b kuna dunka jingine limeshikana na msikiti wanauza nsha nunua ga ya comq nki get namba nataku send msg
 
Thanks, naumba unisaidie na bei yake ili nikija iwe simple zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom