Njia rahisi na isiyo na gharama ya kuongeza 3g signals kwenye modem yako!

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Cheki huu mfano,nunua usb cable extension na utumbukize modem yako kwenye chombo cha aluminum.utapata signals za ukweli!
3G.png 3G II.png 3G III.png
HIYO PICHA YA MWISHO KULIA NIMEJARIBU KUONYESHA MODEM IKIWA BADO HAIJAWEKWA KWENYE KIKAANGIO,MSIJE MKASAHAU KUICHOMEKA KWENYE PC AMA LAPTOP BURE!
 
kaka naamini itaongeza speed lakin what is the mechanism hapa? Kesho ntajaribu na ntatoa feedback pia!
 
kaka naamini itaongeza speed lakin what is the mechanism hapa? Kesho ntajaribu na ntatoa feedback pia!
hapa aluminum inatumika kukusanya signals mkuu!jaribu hata sasahiv uone.
Thanks ni muhim wakuu mkifanikiwa!
 
hapo alminium inakua kama antena so inaongeza upatikanaji wa signals notin else bro
 
hii safi. ila kwa watakaotumia usb extension cable wawe makini. waya wa USB uwe ule unaongara (shinning) na usiwe ule usiongara (dull) waya unaongara ni special kwa ajili ya kuzuia data zisipotee njiani kutoka kwenye modem yako hadi kwenye computer yako.
kama unazo waya zote mbili jaribu utasema ndio.
 
hii safi. ila kwa watakaotumia usb extension cable wawe makini. waya wa USB uwe ule unaongara (shinning) na usiwe ule usiongara (dull) waya unaongara ni special kwa ajili ya kuzuia data zisipotee njiani kutoka kwenye modem yako hadi kwenye computer yako. kama unazo waya zote mbili jaribu utasema ndio.
mkuu hapa naomba ufafanuzi zaidi wa hizo cable
 
kuna usb extensio cable kama zina ngara aina fulani ya metal hivi, kama hiyo unayoiona pichani sometimes sina hakika ila wanaita ACTIVE EXTENSION CABLE, kuna nyengine zipo gamba lake kama rubber (pira au plastic tu) hizo ndizo zinazopoteza signal.
angalia hizi picha mbili tofauti usb active extensio.jpg usbextensioncable1.jpg hii haingari magamba yake.
 
Hii saafi sana i want to hear ur feedback wakuu!! beyond technology..............
 
Wakuu mna view thread tu bila hata ya kuleta feedbacks tujue tunasaidiana vipi.Wabongo tuache kuwa selfish jamani,tutaendelea kweli kwa mtindo huu?
 
Back
Top Bottom