Naomba msaada

fikirini

Senior Member
May 24, 2011
114
22
Nahitaji kubadili windows xp to window 7 home basic, nina soft ware ya w 7 hb. Naomba mwongozo sina utaalam huo.
Natanguliza shukrani zangu kwenu Wana JF
 
washa desktop/laptop yako alafu weka hiyo cd ya win7 utapata msg ya upgrading na hautapoteza hata file moja, hakikisha unaweka cd baada ya kuload window na sio kuboot nayo pia lazima uwe na key za window7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom