program ya kutunzia hesabu za saccos

program ya kutunzia hesabu za saccos

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Posts
7,420
Reaction score
4,033
kwa wenye kujua naweza kuipata wapi software rahisi kutunzia hesabu kwa wanachama wasiopungua 1,000?
 
ndugu jaribu kucheki na jamaa wa Microfins namba ya technical advisor wao ni 0754711062
 
kwa wenye kujua naweza kuipata wapi software rahisi kutunzia hesabu kwa wanachama wasiopungua 1,000?

Jaribu kumpigia huyu jamaa mwenye namba 0713464422 niliona demonstration yake ofisini kwetu, system yake imetulia.
 
Ninayo, called ''FINANCE SOLUTION", ranging from $1,500 to $3,000 depending on the number of branches and users. Call 0718 545519.
 
Tayari umepata! Kuna jamaa wanatengeneza niliiona hadi wameiwekea mobile application, unaweza kumpata kwa 0784262865, 0714901199 anaitwa DEO. Ili kuona baadhi ya products zao tembelea www.royait.net
 
Wasiliana na Marwa Kesanta wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Idara ya Ushirika kwa simu Na 076 5551567
 
Back
Top Bottom