Jinsi ya kuunganisha FM-Radio Towers? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuunganisha FM-Radio Towers?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by JohnShaaban, Jul 16, 2011.

 1. JohnShaaban

  JohnShaaban JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 465
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Habari wakuu.
  Jamaa yangu ana mpango wa kuanzisha FM radio mjini Dar (tayari ana leseni na frequency). Anatarajia kuunganisha matangazo toka Dar kwenda kwenye vituo vya kurusha matangazo katika miji ya Dodoma, Arusha, Mwanza na Mbeya.

  Je, kuna teknolojia gani rahisi anayoweza kutumia kufikisha signal toka chumba cha matangazo, Dar, kwenda kwenye transmission towers katika miji hii? Natanguliza shukrani kwa wale wenye ufahamu na masuala ya FM radio broadcasting.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Mshauri atumie VSAT Tech ni rahisi sana na bei nafuu itamsadia!!Ni PM nitakupa no!!mtu atakufungie fasta tu
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  mkuu ebu toa darasa zaidi.
  Unaposema VSAT ni rahisi
  • una maana ni rahisi kuinstall au ni rahisi bei . ?
  • Na je vito vya radio gani specifically vinatumia VSAT kwenye hiyo kitu kama anayouliza jamaa ?
   
 4. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 955
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Sifahamu sana ila VSAT ni zile dish zinazotumika kwa ajili ya kupata internet hata unapokuwa porini
   
 5. JohnShaaban

  JohnShaaban JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 465
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu nashukuru, nitakuPM kwa maelekezo zaidi.

  LAKINI kwa faida ya visitors wengine naomba ufafanuzi wa namna VSAT inavyofanya kazi.
  Nimejaribu kutafuta undani wa VSAT baada ya kusoma jibu lako... nilichokipata ni kwamba VSAT inategemea non-terrestrial transmission kwa maana ya signal iwe transmitted toka kwenye MASTER earth-station kwenda kwenye satellite kisha ziwe redirected to other earth-stations. Ningependa kujua mambo yafatayo:
  1. nini sifa na gharama za MASTER earth-station?
  2. kwa kuwa nitahitaji kutumia satellite, je kuna gharama yoyote kutumia third-party satellite station?
  3. Iwapo nitalazimika kutumia third-party MASTER earth-station (ambaye tayari anaaccess na satellite station), naweza kutumia teknolojia ipi rahisi kufikisha signal zangu kwenye mitambo yake?

  Again thnx kwa tips.
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Tayari ana lesseni na frequency lakini hajaju ni teknlogia gani anatakiwa kutimia? mhhh something is wrong with this project. Sasa hiyo frequency na leseni atalipia kwa muda gani kabla ya yeye kuwa hewani.

  Je huyo jamaa hajui haya mambo yote au ni wewe ndio poejct manager. Inawezekana maswali unayuliza jamaa anayo majibu. Otherwise hata kabla ya majibu ya kiteknolojia mwambie jamaaa na wewe msome msome project management.

  Sababu mpaka unafikia kupata leseni na frequency ulitakuwa kuwa tayari na


  otherwise kama kapewa leseni na frequncy na maswali unayuliza hayana majibu basi Tanzania ipo kazi.


  Sorry hiyo ndiyo critical thinking yangu
  [SUP]
  kuhusu VSAT nadhani iko expensive sana. kama radio haitakuwa na fungu au wafdhilii za kutosha na inatakiwa ijiendeshe kwa mazingira ya bongo ni ngumu na kama dhumuni lako sio internet radio VSAT mmhhhhhhhhh but sina uhakika sana.
  [/SUP]
   
 7. JohnShaaban

  JohnShaaban JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 465
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Thanks for your "critical thinking", licha ya kujaribu kutoa majibu yasiyo na suluhu.
  Ukisoma ujumbe wangu uliotangulia kwa makini utaona neno RAHISI, nadhani linajitosheleza na hakuna sababu ya kupindisha mada. Mambo haya yote yako kwenye Internet, lakini mazingira ya Tanzania ni tofauti, yanayohitaji watu wenye handon experience. JF ipo ili kuwapata/kuwajua watu wa namna hiyo.
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu;

  Unaweza ukani-PM kwa maelekezo.

  Tayari tumewaunganisha stations nying tu za Radio na TV.

  Unaweza kutumia Terrestrial Fiber na pale ambapo haipo VSAT.

  U need to have towers mikoani. Au unaweza kukodisha za TV/Radio stations zingine at a monthly fees.
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Unafunga Vsat kila mkoa na tower ya broastcast kama sender mchezo umeisha
   
Loading...