Msaada kutoa lock kwenye document

Msaada kutoa lock kwenye document

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,260
Nina kazi yangu nimeiweka lock. Sasa kila ninapofungua inanidai pw. Nitaitoa vipi?
 
Nina kazi yangu nimeiweka lock. Sasa kila ninapofungua inanidai pw. Nitaitoa vipi?

Swali lako ni sawa na mtu asema anataka ku unlock modem bila kusema ni ya aina gani na model gani. Ni mtabiri tu wa nyota anaweza kujaribu kukupa jibu .

Kwa case yako ulitakiwa utaje
  • format ya hiyo document eg Ms word exel, Acess etc
  • Vesrion Ms office 2003, 2007 au 2010. Open office , etc
Taja hivyo vitu nikusadie ku google
 
Back
Top Bottom