Msaada:cd rom haionekani ktk my computer

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
57
Wadau, naomba mnisaidie, nilinunua laptop ya hp pavillion dv9000, ya mtumba yenye window 7,kufika nayo huku kijijini, nikifungua my computer sion cd rom,na hata ukiweka cd inazunguka tu haisomi.
 
Wadau, naomba mnisaidie, nilinunua laptop ya hp pavillion dv9000, ya mtumba yenye window 7,kufika nayo huku kijijini, nikifungua my computer sion cd rom,na hata ukiweka cd inazunguka tu haisomi.

Vipi ukienda kwenye computer management device manager . CD rom haina ki alama cha njano. I mean drivers za CD rom zilizopo ni sahihi. mara nyingi unakuta hiyo kompyuta haikuwa desinned kwa ajili ya windws 7. kwa hiyo aliweke windows 7 hakuweka au hakupata driver sahihi.

Nini cha kufanya
Tambua model ya CD/DVD Rom drive. tafuta drrvers kuptia google na tovuti ya hp then rudia kusimika upya drive zake za windows 7
 
check these steps
take Start-Run then type gpedit.msc navigate to the following location User Configuration -> Administrative Templates -> Windows Components -> Windows Explorer then open "Hide these specified drives in mycomputer" from right panel, select Disabled or Not configured and select your cd drive letter which will be poped on the below panel!!(try this if the cd rom was hidden by the Group Policy)
Ukishindwa nicheck kwa 0714067700
 
Wadau, naomba mnisaidie, nilinunua laptop ya hp pavillion dv9000, ya mtumba yenye window 7,kufika nayo huku kijijini, nikifungua my computer sion cd rom,na hata ukiweka cd inazunguka tu haisomi.

Hii mkuu ni kali ya mwaka, labda nikuulize; kama CD ROM huioni hiyo CD imeiweka wapi? Hapa mkuu umenivunja mbavu, kwe kwe kwe.
 
Back
Top Bottom