Wadau samahanini mie nnataka kuelewa kuwa hivi kwa jinsi marumaru(usually small white blocks) zilivyoundwa material zake za kutereza sasa mbona nazo pamoja na kuziosha mara kwa mara zinashika...
Hellow,
Jinsi ya kudownload Free Application From Ovistore to ur PC ni rahisi sana na haiitaji ku Hack wala nini!!!
Wengine watasema kwann udownload kwa PC, Jibu ni kwamba sometime kudownload...
Salaam zenu wana JF ...
Nina wazo .. since kuna facebook APPS, Twiter Apps .. etcl
wataalam hili jukwaa naona mnafanya kazi nzuri sana kwa kutoa majibu kwa wale wote wnye matatizo bila kejeli...
Katika pitapita yangu nimemkuta kijana anauza moderm ya ZTE nodel no. AC8710, binafsi sina ujuzi wowote wa kuitumia kwani nimejaribu kuistal kwenye machine yangu naona haifanyi kazi naomba msaada...
Wakuu habari za kazi,poleni na majukumu.
Naombeni msaada kuhusu simu yangu naona imenigomea kimtindo
gafla tu nashangaa imeniandikia phone restricted,sasa ukibonyeza Undo Inaniambia ni enter...
Brought that shiny new unlocked iPhone 4 home to Tanzania, only have your first App Store experience end in tears? We certainly sympathize, andapparently Apple's heard your plea.Interested...
Wataalamu,
Naomba msaada wa nini naweza kufanya ili kujua/kugundua kama nimekuwa blocked ku-chat katika yahoo Messenger na mtu ambaye siku zote nimekuwa na-chat nae ila ghafla simwoni online wala...
Habari wana jf naomba msaada kwa hili nimejaribu ku download file la movie kwenye filesonic limekuja kwa format ya winrar kila nikijaribu kuli extract ili lifunguke kwa winrar linafunguka likifika...
tafadhali wakubwa wa jamii forums nina wapsite moja http://wabongoo.tk niliiitengeneza kwa lengo la watu kuweza kupata phone downloads(hasa hapa bongo) kama vile nyimbo,application,themes hata...
Chonde chonde, kuna kirusi hatari katika mawasiliano ya mfumo wa kompyuta. Tafadhali chukua tahadhari.Fuata link hii kwa taarifa zaidi: ConnecTechs Network Solutions
We use very simple Technology to Create this Radio station.. we don't have any frequency but we are using internet only... the Radio Broadcasting from Upanga Dar es Salaam.. and u can listen...
Hello thar FBI and international law authorities,
We recently stumbled across the following article with amazement and a certain amount of amusement:
FBI Tries To Send Message With Hacker...
mimi natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu wa masomo 2011/2012.Je chuo kama UDSM kitaanza lini masomo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaotegemea kujiunga mwaka huu? Naomba mwenye taarifa...